iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)-Duru ya Tatu ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wenye Ulemavu wa Macho imepangwa kufanyika hapa nchini Iran mwezi Aprili.
Habari ID: 3471358    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/31

TEHRAN (IQNA)-Hafidh wa Qur'ani Tukufu kutoka Morocco ametangazwa mshindi katika Mashindano ya Tisa ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Sudan na kutunukiwa zawadi yake Jumamosi usiku.
Habari ID: 3471355    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/15

TEHRAN (IQNA)-Fainali ya Mashindano ya Tisa ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Sudan imeanza Jumanne hii katika mji mkuu, Khartoum.
Habari ID: 3471348    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/09

TEHRAN (IQNA)-Duru ya 35 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yatafanyika mwezi Aprili,2018, waandalizi wamesema.
Habari ID: 3471331    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/29

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Sudan yanatazamiwa kufanyika wiki ijayo na yatakuwa na washiriki 70.
Habari ID: 3471330    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/29

TEHRAN (IQNA)-Wanafunzi wapatao 14,000 hadi sasa wamejisajili kushiriki katika awamu ya 57 ya Mashindano ya Qurani katika shule za Qatar.
Habari ID: 3471304    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/11

TEHRAN (IQNA)-Zaidi ya wanawake 7,000 wanashiriki katika awamu ya 11 ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani kwa wanawake mjini Tehran.
Habari ID: 3471301    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/09

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani yamefanyika siku chache zilizopita nchini Tanzania na kushirikisha nchi 20.
Habari ID: 3471282    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/27

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Dubai kwa wanawake yamemalizika kwa kutunukiwa zawadi washindi.
Habari ID: 3471281    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/26

TEHRAN (IQNA)- Duru a pili ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Wanawake yameanza Jumapili mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3471262    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/13

TEHRAN (IQNA)-Msichana mwenye umri wa miaka 10 ataiwakilisha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Shaikha Fatima Bint Mubarak ya Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE.
Habari ID: 3471198    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/29

TEHRAN (IQNA)- Mashidano ya 5 ya Qur'ani Tukufu yemamalizika Stockholm nchini Sweden Jumapili kw akutangazwa washindi.
Habari ID: 3471166    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/11

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya tano ya Qur’ani ya wanawake yanafanyika wiki hii nchini Libya.
Habari ID: 3471131    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/20

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur'ani Tukufu barani Ulaya yamepwanga kufanyika katika mji mkuu wa Sweden, Stockholm kwa munasaba wa Siku Kuu ya Idul Ghadir.
Habari ID: 3471108    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/06

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya Qur'ani Tukufu barani Ulaya yamepwanga kufanyika katika mji mkuu wa Sweden, Stockholm.
Habari ID: 3471062    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/12

TEHRAN (IQNA)-Radio Bilal nchini Uganda imeandaa mashindano ya Qur'ani yaliyofanyika katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3471040    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/28

TEHRAN (IQNA)-Televisheni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imerusha hewani mashindano makubwa zaidi duniani ya Qur'ani ya moja kwa moja (live).
Habari ID: 3471035    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/25

TEHRAN (IQNA)-Kufuatia nchi kadhaa za Kiarabu zikiongozwa na Saudia na Umoja wa Falme za Kiarabu UAE kukata uhusiano na Qatar, washiriki wa Qatari na Somalia wametimuliwa katika mashindano ya Qur’ani ya Dubai.
Habari ID: 3471018    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/13

TEHRAN-(IQNA)-Mashindano ya 18 ya Kieneo ya Qur'ani Tukufu yameanza Jumapili nchini Djibouti.
Habari ID: 3471011    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/07

TEHRAN (IQNA)- Sayyed Mostafa Husseini wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangazwa kushika nafasi ya pili katika qiraa katika Mashindano ya 5 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Uturuki.
Habari ID: 3470992    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/24