mashindano ya qurani - Ukurasa 28

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya wanafunzi ya Waislamu yameakhirishwa.
Habari ID: 3472521   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/02

TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 37 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yanatazamiwa kuakhirishwa kutokana na hofu ya kirusi cha Corona.
Habari ID: 3472513   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/27

TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya kuhifadhi Qur'ani yamefanyika katika mji mkuu wa Russia, Moscow katika tawi la Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa (SAW).
Habari ID: 3472409   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/27

TEHRAN (IQNA) - Hatimaye wawakilishi wawili watakaoiwakilisha Tanzania katika mashindano makubwa ya Qur an tukufu ya Hifdh na Tajweed yatakayofanyika nchini Gabon, wamepatikana.
Habari ID: 3472393   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/21

TEHRAN (IQNA) - Washindi wa Mashindani ya 29 ya Qur'ani ya Sultan Qaboos wametunukiwa zawadi katika sherehe iliyofanyika Masikiti wa Sultan Qaboos katika Wilaya ya Basusher nchini humo.
Habari ID: 3472310   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/28

TEHRAN (IQNA) – Washindi wa Duru ya 26 ya Mashindano ya Qur'ani ya Sheikh Jassim bin Mohammed bin Thani nchini Qatar wametunukiwa zawadi katika hafla iliyofanyika Jumatatu.
Habari ID: 3472253   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/03

TEHRAN (IQNA) – Wanawake nchini Uzbekistan wameshiriki katika mashindano ya Qur'ani ambaye yamefanyika hivi karibuni katika mji mkuu, Tashkent.
Habari ID: 3472247   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/01

TEHRAN (IQNA) – Duruy a Nne ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Maalumu kwa Wanawake ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) yatakuwa na washiriki kutoka nchi 120.
Habari ID: 3472164   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/10

TEHRAN (IQNA) – Mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamepangwa kufanyika katika Mji Mtakatifu wa Mashhad, kaskazini mashariki mwa nchi.
Habari ID: 3472152   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/28

TEHRAN (IQNA)- Washindi katika mashindano ya kitaifa ya kihifadhi Qur'ani wametunukiwa zawadi katika sherehe iliyofanyika Jumatano katika Ukumbi wa Kituo cha Kiutamaduni na Kiislamu cha mji w Gitega.
Habari ID: 3472105   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/29

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Muungano wa Wasomaji na Waliohifadhi Qur'ani nchini Indonesia amesema hivi sasa kuna vituo 23,000 vya kufunza Qur'ani katika nchi hiyo ya kusini mashariki mwa Asia.
Habari ID: 3472003   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/16

TEHRAN (IQNA) – Washindi wa mashindano ya Qur'ani ambayo yaliandaliwa kwa pamoja na Radio Bilal na Kituo cha Utamaduni cha Iran nchini Uganda wametangazwa katika sherehe iliyofanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kampala.
Habari ID: 3471994   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/10

TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya Qur'ani yamefanyika nchini Uswisi kwa himaya ya Jumuiya ya Kimataifa la Al Raham ya nchini Kuwait.
Habari ID: 3471992   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/10

TEHRAN (IQNA) – Qarii (msomaji wa Qur'ani) kutoka Iraq ameibuka mshindi katika Duru ya 12 ya mashindano ya kimataifa ya kusoma Qur'ani (qiraa) ambayo hufanyika mubashara au moja kwa moja kupitia Televisheni ya Al Kauthar ya Iran.
Habari ID: 3471989   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/07

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Uturuki yamemalizika kwa kutunukwia zawadi washindi.
Habari ID: 3471975   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/28

TEHRAN (IQNA)- Rais John Magufuli wa Tanzania amehuhdhuria Mashindano ya Kimataifa ya Kusoma na Kuhifadhi Qur’ani yaliyofanyika Jumapili Mei 19.
Habari ID: 3471966   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/21

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Dubai wametangazwa Jumapili usiku baada ya kuchuana kwa muda wa siku 12.
Habari ID: 3471965   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/20

TEHRAN (IQNA)- Duru ya 12 ya mashindano ya kimataifa ya kusoma Qur'ani (qiraa) ambayo hufanyika mubashara au moja kwa moja kupitia Televisheni ya Al Kauthar ya Iran yanatazamiwa kuwa na washiriki 250 mwaka huu.
Habari ID: 3471935   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/30

TEHRAN (IQNA)- Wawakilishi wa nchi 90 wanatazamiwa kushiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Dubai.
Habari ID: 3471930   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/27

TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 61 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Malaysia yalimalizika Jumamosi usiku kwa kutunukiwa zawadi washindi.
Habari ID: 3471926   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/23