Harakati za Qur'ani
IQNA – Baraza la Wataalamu wa Kiislamu la Kosovo limezindua toleo jipya la tarjuma ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kialbania.
Habari ID: 3479994 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/02
Fikra
IQNA – Tarjuma ya Qur’ani Tukufu ni muhimu katika kufahamu maandishi ya Mwenyezi Mungu lakini haitoshi, anasema profesa mashuhuri wa lugha ya Kiarabu.
Habari ID: 3479916 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/18
Qur'ani Tukufu Katika Mataifa
IQNA - Wafasiri wa kwanza wa Qur'ani Tukufu katika lugha ya Kibosnia, ya Bosnia na Herzegovina, walilenga hasa katika kuwasilisha kwa usahihi maana za aya lakini katika miongo michache iliyopita, pia kumekuwa na umakini kwenye vipengele vya uboreshaji wa kifasihi.
Habari ID: 3479661 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/28
Qur'ani Tukufu
IQNA – Tafsiri ya Qur’ani Tukufu ilianza katika miaka ya mwanzo baada ya ujio wa Uislamu, na baadhi ya sehemu za Kitabu Kitukufu zilifasiriwa wakati wa uhai wa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3478821 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/14
Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /12
TEHRAN (IQNA) – Shughuli za kutarjumi Qur'ani Tukufu imeshuhudia maendeleo makubwa katika eneo la Balkan katika miongo ya hivi karibuni.
Habari ID: 3476273 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/19
Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu / 10
TEHRAN (IQNA) – Kusoma Qur'ani Tukufu katika lugha yake asili ya Kiarabu ni changamoto kwa Waislamu wengi katika nchi zisizo za Kiarabu. Watarjumi na wafasiri wamejaribu kurahisisha mambo kwa kuandika tarjuma na maelezo au tafsiri kwa lugha mbali mbali za dunia.
Habari ID: 3476230 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/11