IQNA – Shule ya Qur'ani ya Novi Pazar nchini Serbia ni miongoni mwa vituo muhimu zaidi vya elimu ya Qur'ani katika eneo la Balkan, ikijitahidi kufufua utambulisho wa Kiislamu miongoni mwa Waislamu wa eneo hilo na kuwafundisha Qur'ani Tukufu pamoja na tafsiri yake kwa wenye nia.
Habari ID: 3481029 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/02
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
BELGRADE (IQNA) – Sheikh Bayram Ayati, mtaalamu mashuhuri wa Qur’ani Tukufu katika nchi za Balkan amefariki dunia siku ya Jumatano.
Habari ID: 3477380 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/04
Qurani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Waislamu nchini Serbia walipokea kwa furaha qari na mhifadhi wa Qur’an kutoka Iran Mahmoud Noruzi Farahani nchini humo.
Habari ID: 3476882 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/17