TEHRAN (IQNA) – Sheria ya kutotoka nje ili kuzuia kuenea ugonjwa wa corona nchini India imepelekea Waislamu wa jamii ya Rohingya wasiweze kupokea msaada wa chakula kutoka kwa wahisani na hivyo wanakabiliwa baa la njaa.
Habari ID: 3472681 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/19
TEHRAN (IQNA)-Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametembelea kambi ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya huko Cox’s Bazar nchini Bangladesh na kusema alichoshuhudia kinamkumbusha wajukuu zake.
Habari ID: 3471581 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/03
IQNA (TEHRAN)-Serikali ya Bangladesh inasema wakimbizi Waislamu Warohingya waliopata hifadhi nchini kufuatia ukatili wanaotendewa nchini Myanmar sasa wamefika milioni moja na idadi hiyo ni kubwa zaidi ya ile ambayo imekuwa ikitajwa katika vyombo vya habari.
Habari ID: 3471360 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/19
TEHRAN (IQNA)-Ujumbe wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) umepanga kutembelea kambi za wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya katika mji wa Cox’s Bazar nchini Bangladesh kuanzia Januari 3-6.
Habari ID: 3471340 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/02
TEHRAN (IQNA)-Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuishinikiza Myanmar isitishe ukandamizaji wa Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo.
Habari ID: 3471248 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/05
TEHRAN (IQNA)-Afisa wa Hilali Nyekundu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (ICRS) amesema kuna takribani wakimbizi zaidi ya milioni moja Waislamu wa jamii ya Rohingya waliokimbia mauaji ya kimbari Myanmar na kuingia nchini Bangladesh.
Habari ID: 3471237 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/29
TEHRAN (IQNA)-Kijana mwenye umri wa miaka 11 nchini Bangladesh amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu kwa muda wa siku 86.
Habari ID: 3471221 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/18
TEHRAN (IQNA)-Watoto wa jamii wa Waislamu Warohingya walitoroka ukatili Myanmar na kupata hifadhi Bangladesh wamepata fursa ya kujifunza Qur’ani Tukufu katika kambi za wakimbizi.
Habari ID: 3471160 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/05
IQNA: Bangladesh imesema itatekeelza mpango wake tata wa kuwapalekea wakimbizi Waislamu kutoka Myanmar katika kisiwa kilicho mbali sana.
Habari ID: 3470824 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/31
IQNA: Makumi ya maelfu ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar wamekimbilia katika nchi jirani ya Bangladesh ili kunusuru maisha yao.
Habari ID: 3470768 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/30
Serikali ya Bangladesh imeipiga marufuku televisheni ya satalaiti maarufu kama 'Peace TV' inayofungamana na mhubiri wa Kiwahhabi Zakir Naik kwa tuhuma za kuunga mkono misimamo mikali na ugaidi.
Habari ID: 3470446 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/11
Abdullah Abdul Quddus ambaye amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu ametajwa kuwa hafidh mwenye umri wa chini zaidi mjini Jeddah, Saudi Arabia.
Habari ID: 3457024 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/25