iqna

IQNA

bangladesh
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Seyed Abolfazl Aqdadsi, kijana mhifadhi Qur'ani Tukufu kutoka Iran, anaiwakilisha nchi yake katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Bangladesh.
Habari ID: 3478236    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/22

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Maandamano makali yalifanyika nchini Bangladesh baada ya makumi ya nakala za Qur’ani Tukufu kuchomwa moto katika nchi hiyo ya Kusini mwa Asia.
Habari ID: 3477397    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/08

Jamii ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina alitoa wito kwa Umma wa Kiislamu kuwekeza zaidi katika uwanja wa elimu ya sayansi na teknolojia kwa watoto wao ili kurudisha urithi uliopotea.
Habari ID: 3477076    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/31

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Washindi wa shindano "kubwa zaidi kuwahi kuandaliwa" la kusoma Qur'ani nchini Bangladesh walitunukiwa pesa taslimu na safari za Umrah.
Habari ID: 3477030    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/22

Qiraa ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Maelfu ya watu walihudhuria mahafali ya kusoma Qur’ani Tukufu iliyofanyika Bangladesh ambapo qari wa Misri Mahmoud Kamal al-Najjar alisoma aya za Kitabu kitakatifu.
Habari ID: 3476667    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/06

Uislamu Bangladesh
TEHRAN (IQNA) – Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina aliuelezea Uislamu kuwa ni dini ya amani, udugu na urafiki.
Habari ID: 3476416    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/17

Chuki dhidi ya Uislamu India
TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya watu waliandamana katika mji mkuu wa Bangladesh wa Dhaka siku ya Ijumaa kulaani matamshi ya hivi majuzi ya matusi ya maafisa wa chama tawala India kuhusu Mtukufu Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3475363    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/11

TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni wa ngazi za juu wa Kiislamu amelaani vikali hujuma za hivi karibuni dhidi ya Waislamu nchini India huku akitoa wito wa kuanzishwa harakati yakimataifa ya kutetea Waislamu ambao wanaishi kama jamii za waliowachache.
Habari ID: 3474495    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/31

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Maulamaa wa Kiislamu katika jimbo la Tripura kaskazini mashariki mwa India wameitaka serikali ya nchi hiyo ichukue hatua za kuzuia magenge ya Wahindu wenye misimamko mikali kuwashambulia Waislamu na misikiti.
Habari ID: 3474487    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/29

TEHRAN (IQNA)- Wahindu wenya misimamo mikali katika jimbo la Tripura kaskazini mashariki mwa India wamewahujumu Waislamu na kuharibu misikiti minne kwa sababu ya kulipiza kisasi kutokana na kile wanachodai ni kusumbuliwa Wahindu katika nchi jirani ya Bangladesh.
Habari ID: 3474483    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/28

TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua watatu wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano ya kulaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Bangladesh.
Habari ID: 3474423    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/14

TEHRAN (IQNA)- Najmu Saqib ni qarii ambaye usomaji wake wa Qur'ani Tukufu umepata umashuhiri katika nchi yake na maeneo mengine duniani.
Habari ID: 3474403    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/09

TEHRAN (IQNA)- Mmoja wa viongozi wa jamii ya Waislamu wa Rohingya waliokimbilia Bangladesh kutoka Myanmar ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana.
Habari ID: 3474370    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/02

TEHRAN (IQNA)- Qarii mashuhuri wa Iran, Sayyed Javad Hussein amewahi kualikwa maeneo mbali mbali duniani katika vikao vya Qur'ani Tukufu na moja ya nchi hizo ni Bangladesh.
Habari ID: 3473875    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/04

TEHRAN (IQNA) -Jumuiya ya Kiislamu Bangladesh imesema Waislamu wanaweza kudungwa chanjo ya COVID-19 au corona katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani hakubatilishi Saumu.
Habari ID: 3473740    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/16

TEHRAN (IQNA) –Bangladesh imewahamisha Waislamu 1,804 wakimbizi wa jamii ya Rohiingya kutoka katika kambi ya wakimbizi ya Cox's Bazar na kuwapeleka katika kisiwa cha mbali ambacho hadi sasa hakikuwa na wanadamu katika Ghuba ya Bengali .
Habari ID: 3473530    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/06

TEHRAN (IQNA) - Makumi ya maelfu ya Waislamu wa Bangladesh wamefanya maandamano katika mji mkuu Dhaka, kulaani hatua ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ya kuunga mkono kitendo cha kifidhuli cha jarida la Kifaransa la Charlie Hebdo cha kuchapisha tena vibonzo vya kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3473303    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/28

TEHRAN (IQNA)- Waumini wasiopungua 17 wamepoteza maisha katika ajali ya mripuko wa bomba la gesi katika msikiti nchini Bangladesh.
Habari ID: 3473141    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/05

TEHRAN (IQNA) – Waislamu Warohingya ambao ni wakimbizi nchini Bangladesh leo wameshiriki katika 'maandamano ya kimya kimya' kukumbuka mwaka wa tatu tokea waanze kufurushwa makwao nchini Myanmar.
Habari ID: 3473102    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/25

TEHRAN (IQNA) – Sheria ya kutotoka nje ili kuzuia kuenea ugonjwa wa corona nchini India imepelekea Waislamu wa jamii ya Rohingya wasiweze kupokea msaada wa chakula kutoka kwa wahisani na hivyo wanakabiliwa baa la njaa.
Habari ID: 3472681    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/19