iqna

IQNA

Tuko katika siku za kukumbuka kuuawa shahidi binti kipenzi wa Mtume Muhammad (saw) Fatimatu Zahra (as). Bibi Fatima al Zahra (as) ni binti ya Mtukufu Mtume Muhammad (saw) na Bibi Khadija bint Khuwailid, mke kipenzi wa Mtume na mtoto wa nne wa kike wa Mtume wa Mwenyezi Mungu. Baadhi ya lakabu zake ni al Zahra, Siddiqa, Twahira, Mubarakah, Zakiyyah, Raadhiyah, Mardhiyya, Muhaddathah na Batul.
Habari ID: 3015831    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/20

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kuuletea madhara mshikamano na kuzusha mizozo baina ya Waislamu wa Kishia na Kisunni ni moja ya vithibitisho vya kukufuru neema za Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 1397724    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/20

Imam Khamenei
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema kuwepo idadi kubwa ya wanawake wenye vipaji, wasomi, wenye fikra nzuri na wateule katika Iran ya Kiislamu ni miongoni mwa neema za Mwenyezi Mungu na mojawapo ya fahari kubwa zaidi kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 1397288    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/20