iqna

IQNA

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, umoja na mshikamano ni tiba ya matatizo ya ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3329122    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/18

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia ujumbe viongozi wa nchi za Kiislamu akimshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa kukamilisha mfungo wa mwezi wa Ramadhani.
Habari ID: 3329111    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/18

Kamati ya kuutafuta mwezi mwandamo katika Ofisi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu imetangaza kuwa, Siku kuu ya Idul Fitr itaadhimishwa kesho Jumamosi nchini Iran na kwa msingi huo Ijumaa ya leo ni siku ya mwisho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani nchini.
Habari ID: 3328911    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/17

Imam Khamenei
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, 'ulimwengu wa Kiislamu kwa kuweka kando hilitalfu zilizopo, utumie uwezo wake wote kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.'
Habari ID: 1434650    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/29

Imam Khamenei
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kwamba, ulimwengu wa Kiislamu unapasa kuipatia kipaumbele kikubwa kadhia ya Ghaza.
Habari ID: 1434649    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/29

Baadhi ya Waislamu katika nchi za Iraq, Uturuki, Qatar, Misri, Saudi Arabia na Bahrain leo wanasherehekea sikukuu ya Idul Fitr baada ya kutangazwa rasmi mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani katika nchi hizo.
Habari ID: 1434339    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/28