wanawake - Ukurasa 4

IQNA

Tehran (IQNA) - Waandalizi wa ‘Siku ya Hijabu Duniani’ wanatazamia Waislamu na wasiokuwa Waislamu wanatazamiwa kushiriki katika maadhimisho ya siku hiyo Februari 1 mwaka huu wa 2015.
Habari ID: 2790522    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/31

Imam Khamenei
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema kuwepo idadi kubwa ya wanawake wenye vipaji, wasomi, wenye fikra nzuri na wateule katika Iran ya Kiislamu ni miongoni mwa neema za Mwenyezi Mungu na mojawapo ya fahari kubwa zaidi kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 1397288    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/20