TEHRAN (IQNA)- Wanawake Waislamu nchini Uganda wamemuandikia barua spika wa bunge la nchi hiyo, Bi Rebecca Kadaga wakitaka mabadiliko katika sharia ili kuwaruhusia wanawake Waislamu wavae Hijabu wakati wanapopigwa picha za vitambulisho.
Habari ID: 3473282 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/21
Rais Hassan Rouhani
TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema moja ya fahari za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kuwa inawaruhusu wanawake waendeleze harakati zao katika sekta mbali mbali.
Habari ID: 3472893 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/24
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Tatu ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran maalumu kwa ajili ya wanawake yamemalizika Ijumaa mjini Tehran.
Habari ID: 3471914 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/13
TEHRAN (IQNA)- Awamu ya tatu ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani maalumu kwa wanawake yameanza Jumapili mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3471730 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/05
TEHRAN (IQNA)-Binti Mtanzania, Ashura Amani Lilanga, ameshika nafasi tatu katika Mashindano ya Tatu Kimataifa ya Qur’ani ya Wanawake katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3471482 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/26
TEHRAN (IQNA)-Kitengo cha wanawake katika Mashindano ya 35 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Irna kimefunguliwa Jumamosi.
Habari ID: 3471476 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/22
TEHRAN (IQNA)-Zaidi ya wanawake 7,000 wanashiriki katika awamu ya 11 ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani kwa wanawake mjini Tehran.
Habari ID: 3471301 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/09
TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya tano ya Qur’ani ya wanawake yanafanyika wiki hii nchini Libya.
Habari ID: 3471131 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/20
IQNA-Iran imechagua wanawake watakaoiwakilisha nchi hii katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani yatakayofanyika maeneo mbali mbali duniani mwaka huu.
Habari ID: 3470863 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/22
Mjadala wa #tilljannah (hadi Jannah) maalumu kwa vijana wa kike Waislamu, umefanyika pembizoni mwa Mkutano wa Kilele wa Wanawake Waislamu mwaka 2016 huko Kuala Lumpur, Malaysia na kuwavutia washiriki takribani 500.
Habari ID: 3470579 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/25
Awamu ya 10 ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani nchini Iran yamemalizika Ijumaa mjini Tehran.
Habari ID: 3470578 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/24
Waislamu nchini Nigeria wamepongeza hukumu ya Mahakama ya Rufaa mjini Lagos kubatilisha marufuku ya wasichana Waislamu kuvaa Hijabu katika shule za serikali mjini humo.
Habari ID: 3470472 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/25
Kwa msaada wa Chuo Kikuu cha Minnesota Marekani, wasichana Waislamu katika eneo la Minneapolis wamebuni mavazi mapya ya timu yao ya baskatboli, mavazi ambayo yanazingatia mipaka ya Kiislamu.
Habari ID: 3313760 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/13
Wanawake wasomi na wanaharakati wa Qur'ani Tukufu wameenziwa pembizoni mwa Awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3306144 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/21
Tehran (IQNA) - Waandalizi wa ‘Siku ya Hijabu Duniani’ wanatazamia Waislamu na wasiokuwa Waislamu wanatazamiwa kushiriki katika maadhimisho ya siku hiyo Februari 1 mwaka huu wa 2015.
Habari ID: 2790522 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/31
Imam Khamenei
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema kuwepo idadi kubwa ya wanawake wenye vipaji, wasomi, wenye fikra nzuri na wateule katika Iran ya Kiislamu ni miongoni mwa neema za Mwenyezi Mungu na mojawapo ya fahari kubwa zaidi kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 1397288 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/20