wanawake

IQNA

IQNA – Mpango wa usomaji wa Qur’ani umeanzishwa katika maeneo ya maombi ya wanawake katika Msikiti wa Mtume (Al Masjid An Nabawi) huko Madina.
Habari ID: 3482245    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/16

IQNA – Kwa mara ya kwanza katika historia yake, Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu katika Ufalme wa Saudi Arabia yatajumuisha kitengo maalumu cha wanawake .
Habari ID: 3482227    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/11

IQNA – Mji wa Aden, Yemen umeshuhudia hafla adhimu ya Qur’ani Tukufu iliyowaleta pamoja wanawake waliobobea katika hifdhi, ambapo walifanikiwa kuisoma Qur’ani Tukufu yote kwa kuhifadhi (kwa moyo) ndani ya kikao kimoja.
Habari ID: 3482198    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/04

IQNA – Kituo cha Sheikha Hessa Bint Ali Al Khalifa cha Kuhifadhi Qur’ani Tukufu na Kufundisha Sayansi za Qur’ani kimefunguliwa rasmi kwa ajili ya wanawake katika eneo la Al‑Bustain, mkoa wa Muharraq, nchini Bahrain.
Habari ID: 3481924    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/12

IQNA – Afisa wa Wizara ya Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu Iran amesisitiza nafasi muhimu ya wanawake katika Maonyesho ya Kimataifa ya Qur’ani ambayo hufanyika Tehran kila mwaka.
Habari ID: 3481645    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/11

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, hadhi ya wanawake katika Uislamu ni tukufu na ya juu mno na akaongeza kwamba: "tafsiri inayotoa Qur'ani Tukufu kuhusu utambulisho na shakhsia ya mwanamke ni ya juu zaidi kiutukufu na ya kimaendeleo zaidi."
Habari ID: 3481612    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/04

IQNA – Washiriki wa kitengo cha wanawake katika Mashindano ya 48 ya Kitaifa ya Qur’ani Tukufu nchini Iran waliendelea kuonesha umahiri wao siku ya tatu ya mashindano hayo, wakishindania nafasi za juu.
Habari ID: 3481412    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/25

IQNA – Washiriki wa mkutano wa kimataifa wa wanawake uliofanyika Tehran wametoa wito wa kususiwa kwa kina kwa utawala wa Kizayuni, wakilaani vita vya mauaji ya halaiki vinavyoendelea dhidi ya Gaza.
Habari ID: 3481210    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/09

IQNA – Idara ya Masuala ya Wanawake ya Taasisi ya Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) imeandaa mipango kabambe ya kuwahudumia wafanyaziyara wa kike katika msimu huu wa ziara ya Arbaeen.
Habari ID: 3481032    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/02

IQNA-Australia imeingia katika kipindi kigumu cha chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia), hali iliyoibuka kwa kasi tangu kuanza kwa vita vya kikatili vya utawala wa Israel dhidi ya Gaza.
Habari ID: 3481020    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/30

IQNA-Kozi ya kiangazi ya wanawake ya kuhifadhi Qur’ani Tukufu katika Msikiti Mtukufu wa Masjid al-Haram, Makkah, imekamilika kwa mafanikio, ambapo washiriki zaidi ya 1,600 wametimiza masharti ya programu hiyo.
Habari ID: 3481013    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/28

IQNA – Kozi maalum ya kiangazi ya kuhifadhi na kusoma Qur’ani kwa wanawake imezinduliwa katika Msikiti Mkuu wa Makka maarufu kama Masjid al Haram.
Habari ID: 3480971    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/20

IQNA – Semina ya kitamaduni na kielimu iliyopewa jina “Utangulizi wa Mafanikio ya Mapinduzi ya Kiislamu katika Nyanja ya Wanawake” iliandaliwa jijini Dar es Salaam, Tanzania, Jumatatu.
Habari ID: 3480205    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/12

Harakati za Qur'ani
IQNA – Toleo la 16 la Kongamano la Kimataifa la Watafiti wa Qur’ani Wanawake lilifanyika katika Mnara wa Milad mjini Tehran siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3479960    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/27

Qur'ani Katika Maisha
IQNA – Mwanamke Muirani aliyehifadhi Qur'ani Tukufu amesema mtu ambaye amekumbatia uzuri wa Qur'ani Tukufu hawezi kuvumilia kutengwa nayo.
Habari ID: 3479872    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/07

Michezo
IQNA - Chama cha Soka cha Uingereza (FA) kimeomba msamaha kwa mwanasoka mwanamke mwenye uraia pacha wa Uingereza - Somalia.
Habari ID: 3479684    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/02

Wanawake na Qur'ani
IQNA - Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, anasema heshima na imani ya wanawake huko Gaza "inang'aa kama dhahabu safi" wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea mauaji ya kimbari na uharibifu katika eneo hilo lililozingirwa.
Habari ID: 3479673    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/30

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Mhifadhi wa Qur’ani kutoka Uswidi ameshika nafasi ya kwanza katika Toleo la 8 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani kwa wanawake huko Dubai, Umoja  Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3479431    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/14

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Zahra Ansari anaiwakilisha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Toleo la 8 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Sheikha Fatima Bint Mubarak kwa wanawake .
Habari ID: 3479407    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/09

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu inaandaa toleo la 8 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Sheikha Fatima Bint Mubarak kwa wanawake .
Habari ID: 3479401    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/08