Msikiti wa

IQNA

Msikiti wa Jamia Syeda Fatima Al-Zahra ulioko Bank Lane, Blackburn, ambao kwa sasa unaendesha shughuli zake ndani ya jengo la baa ya zamani, umepata kibali cha kubomoa jengo hilo na kujenga kituo kipya cha Kiislamu cha ghorofa mbili.
Habari ID: 3481346    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/10

IQNA – Maktaba ya Msikiti wa Mtume au Al Masjid An Nabawi mjini Madina inafanya kazi kama taasisi ya umma inayotoa huduma mbalimbali kwa watafiti na wageni wanaovutiwa na turathi za Kiislamu.
Habari ID: 3480932    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/12

Harakati za Qur'ani
IQNA – Kikao cha usomaji Qur'ani Tukufu na  Ibtihal kilifanyika katika Msikiti wa Imam Hussein (AS) huko Cairo, mji mkuu wa Misri.
Habari ID: 3479335    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/27

Msikiti wa Jamia wa Sabanci uko katika mji wa Adana nchini Uturuki.
Habari ID: 2945668    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/08