Idadi ya watu waliopoteza maisha katika shambulio la kujilipua mjini Maiduguri, kaskazini mashariki mwa Nigeria imeongezeka na kufikia 60.
Habari ID: 3310844 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/03
Waislamu 26 wamepoteza maisha baada ya magaidi wa kundi la kitakfiri la Boko Haram kulipua bomu ndani ya msikiti mmoja katika mji wa Maiduguri kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Habari ID: 3309578 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/31