dubai - Ukurasa 2

IQNA

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Toleo la sita la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Sheikha Fatima Bint Mubarak kwa wasichana litafanyika Oktoba mwaka huu kwa kushirikisha nchi 136 katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3475634   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/17

TEHRAN (IQNA)- Duru ya 22 yla shindano la Qur'ani kwa vijana wa kike lilihitimishwa Jumatano huko Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3475000   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/03

TEHRAN (IQNA)- Wafungwa wapatao 608 huko Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wamefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.
Habari ID: 3474801   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/13

TEHRAN (IQNA)- Wafungwa 115 mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu wamepunguziwa adhabu zao kwa miezi sita hadi miaka 20 baada ya kuhifadhi Qur'ani.
Habari ID: 3474734   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/28

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Duru ya Tano ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Wanawake Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wametangazwa.
Habari ID: 3474613   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/28

TEHRAN (IQNA)- Wawakilishi wa nchi takribani 50 wametangaza kuwa tayari kushiriki katika Duru ya Tano ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Wanawake Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)
Habari ID: 3474566   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/16

TEHRAN (IQNA)- Msahafu ambao umetajwa kuwa mkubwa zaidi duniani utaonyeshwa katika maonyesho ya Expo 2020 Dubai ambaye yanatazamiwa kuanza mjini humo baadaye mwezi Oktoba.
Habari ID: 3474242   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/31

TEHRAN (IQNA) - Tuzo ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Dubai (DIHQA) imetangaza kuanza kukubali maombi ya toleo la 5 la mashindano ya Qur'ani kwa wanawake.
Habari ID: 3474216   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/22

TEHRAN (IQNA)- Taasisi ya Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai imewaenzi wachapishaji na wasambazaji Misahafu katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3474174   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/09

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Mashindano ya 24 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur’ani ya Dubai wametangazwa na kutunukiwa zawadi.
Habari ID: 3473849   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/25

TEHRAN (IQNA)- Duru ya Tisa ya Mashindano ya Qur’ani kwa ajili ya walemavu imeanza Jumamosi mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3473828   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/18

TEHRAN (IQNA)- Mpango mpya umezinduliwa mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu kwa lengo la kuwafadhili na kuwaunga mkono waalimu wa Qur’ani Tukufu kote duniani.
Habari ID: 3473672   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/22

TEHRAN (IQNA) – Duru ya 14 ya Mashindano ya Qur’ani ya Dubai nchini Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) inaendelea katika mji huo.
Habari ID: 3473377   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/20

TEHRAN (IQNA)- Manispaa ya Mji wa Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza kuwa watu milioni moja wameitembelea Bustani ya Qurani tangu ifunguliwe mjini humo mwezi Machi mwaka huu.
Habari ID: 3472226   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/22

TEHRAN (IQNA) – Duruy a Nne ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Maalumu kwa Wanawake ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) yatakuwa na washiriki kutoka nchi 120.
Habari ID: 3472164   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/10

Jarida la Time
TEHRAN (IQNA) – Jarida la kimataifa la Time limetangaza orodha ya 'Maeneo 100 Bora ya Kutembelea Duniani 2019' na Bustani ya Qur'ani ya Dubai ni miongoni mwa maeneo hayo.
Habari ID: 3472099   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/25

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Dubai wametangazwa Jumapili usiku baada ya kuchuana kwa muda wa siku 12.
Habari ID: 3471965   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/20

TEHRAN (IQNA)- Wawakilishi wa nchi 90 wanatazamiwa kushiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Dubai.
Habari ID: 3471930   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/27

TEHRAN (IQNA)- Msichana mwenye umri wa miaka 19 na ambaye anaugua ugonjwa wa kupooza kwa ubongo (cerebral palsy) amefanikiwa kuhifadhi sura 42 za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471927   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/24

TEHRAN (IQNA)-Bustani ya Qur'ani imezinduliwa Ijumaa katika Umoja wa Falme za Kiarabu mjini Dubai katika eneo la Al Khawaneej Ijumaa ambapo wageni watapa fursa ya kujifunza kuhusu miujiza ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471894   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/30