IQNA – Wahifadhi Qur’ani kutoka nchi 85 wamesajili majina yao ili kushiriki katika toleo la 28 la Tuzo la Kimataifa la Qur’ani Tukufu la Dubai.
Habari ID: 3480858 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/25
IQNA – Toleo la mwaka 2026 la Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai litaandaliwa chini ya dira mpya iliyopewa kauli mbiu: "Katika Kutafuta Qiraa Nzuri Zaidi ya Qur’ani Tukufu."
Habari ID: 3480795 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/06
IQNA – Mashindano yajayo ya Qur’ani ya Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai yatafanyika katika sehemu tatu kuu, na kwa mara ya kwanza yatafungua milango kwa washiriki wa kike.
Habari ID: 3480726 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/23
IQNA – Mashindano ya Qur'ani ya Sheikh Rashid bin Mohammed Al Maktoum huko Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE ) yalishuhudia ushiriki wa wanafunzi 1,104 wa kiume na wa kike kutoka shule 32.
Habari ID: 3480046 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/13
Mazingira
IQNA - Msikiti wa kwanza wa Asia Magharibi ambao unazalisha nishati zaidi kuliko unavyotumia (net positive energy), umefunguliwa huko Dubai, UAE.
Habari ID: 3479721 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/09
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Zahra Ansari anaiwakilisha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Toleo la 8 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Sheikha Fatima Bint Mubarak kwa wanawake.
Habari ID: 3479407 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/09
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Zahra Ansari ambaye amehifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu ataiwakilisha Iran katika toleo la 8 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Sheikha Fatima Bint Mubarak Kwa Wanawake ya Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3479186 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/26
Mashindano ya Qur;ani
IQNA - Sherehe za kufunga toleo la 27 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Dubai ambayo hujulikana rasmi kama Tuzo la Kimataifa la Qur'ani Tukufu la Dubai (DIHQA) zilifanyika katika mji wa UAE Jumamosi jioni.
Habari ID: 3478565 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/24
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Toleo la 24 la Mashindano ya Qur’ani Tukufu ya Sheikha Hind Bint Maktoum katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) yalihitimishwa katika hafla iliyofanyika mjini Dubai.
Habari ID: 3478252 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/25
Mashindano ya Qur'ani
DUBAI (IQNA) - Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Dubai ya Sheikha Fatima Bint Mubarak kwa wanawake yalifungwa katika sherehe huko Dubai, UAE.
Habari ID: 3477637 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/23
Utalii wa Kiislamu
DUBAI (IQNA) - Dubai inatazamiwa kuzindia msikiti wa kwanza duniani unaoelea kwa gharama inayokadiriwa ya takriban Dh55 milioni.
Habari ID: 3477633 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/22
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Washindi watatu bora wa Tuzo ya 26 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai waliarifishwa katika hafla iliyofanyika Dubai Jumanne usiku.
Habari ID: 3476821 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/06
Mashidano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Toleo la 23 la Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sheikha Hind Bint Maktoum yameanza leo katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)
Habari ID: 3476371 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/07
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Zaidi ya washiriki 500 waliohifadhi Qur’ani Tukufu wameshiriki katika mashindano ya kila mwaka ya Qur’ani yanayoandaliwa na Vituo vya Kuhifadhi Qur’ani Tukufu vya Maktoum huko Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3475941 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/17
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya Duru ya Sita ya Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani ya Sheikha Fatima Bint Mubarak kwa wanawake yalihitimishwa huko Dubai, UAE.
Habari ID: 3475888 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/06
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Toleo la 6 la Mashindano ya Kimataifa la ya Qur’ani ya Sheikha Fatima Bint Mubarak kwa wanawake yanaendelea huko Dubai, nchini UAE.
Habari ID: 3475874 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/03
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Toleo la sita la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Sheikha Fatima Bint Mubarak kwa wasichana litafanyika Oktoba mwaka huu kwa kushirikisha nchi 136 katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3475634 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/17
TEHRAN (IQNA)- Duru ya 22 yla shindano la Qur'ani kwa vijana wa kike lilihitimishwa Jumatano huko Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3475000 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/03
TEHRAN (IQNA)- Wafungwa wapatao 608 huko Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wamefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.
Habari ID: 3474801 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/13
TEHRAN (IQNA)- Wafungwa 115 mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu wamepunguziwa adhabu zao kwa miezi sita hadi miaka 20 baada ya kuhifadhi Qur'ani.
Habari ID: 3474734 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/28