Sauti ya Mbinguni/ 3
IQNA- Usomaji wa Qur'ani Tukufu kwa hakika unaweza kutajwa kuwa 'Sauti ya Mbinguni', ambao kila aya zake tukufu huleta thawabu kubwa na usikilizwaji wake huleta utulivu wa mioyo. Katika mfululizo wa "Sauti ya Mbinguni", tumekusanya nyakati za hamasa, unyenyekevu, na uzuri wa sauti ya Qur'ani, na sehemu bora za tilawa ya wasomaji mashuhuri wa Kiirani, ili kuwa urithi wa kusikika wa fani ya tilawa na maana ya kiroho ya aya za Qur'ani.
Habari ID: 3480547 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/16
Mwanafalaki (mwanaastronomia) mashuhuri wa Iran amesema kuwa kuna aya 750 katika Qur’ani Tukufu kuhusu sayansi asilia na sayansi jarabati kwa lengo la kuwakumbusha watu masuala kuhusu maudhui kama vile maumbile ya mbingu na ardhi, milima, mimea n.k.
Habari ID: 3340977 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/10