Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei leo Jumapili mjini Tehran kabla ya kuanza Wiki ya Kijihami Kutakatifu hapa nchini amekutana na kufanya mazungumzo kwa karibu na walemavu wa vita na familia zao na kuwajulia hali.
Habari ID: 3365553 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/20