Karama

IQNA

QOM (IQNA) - Haram Takatifu (kaburi) ya Bibi Maasuma (SA) huko Qom, Iran imepambwa kwa maelfu ya maua siku ya Ijumaa kuadhimisha sherehe za Karamat.
Habari ID: 3477020   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/20