imamu

IQNA

Ahl-ul-Bayt (AS)
Katibu Mkuu wa Majlisi ya Ahl-ul-Bayt (AS) ya Dunia amesema Nahj-al-Balagha inapaswa kuletwa kwa walimwengu na mafunzo yatolewe humo katika nyanja tofauti.
Habari ID: 3479052   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/02

Taazia
IQNA - Kamera ya usalama katika msikiti mmoja nchiniIndonesia ilirekodi wakati imamu alipoaga dunia wakati akiongoza sala ya asubuhi mnamo Januari 2, 2024.
Habari ID: 3478155   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/06

TEHRAN (IQNA) – Ili kupata marudio yoyote, tunapaswa kumfuata mtu anayeijua njia vizuri.
Habari ID: 3477749   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/17

TEHRAN (IQNA)-Maimamu wa Kishia ni kumi na wawili kutoka katika kizazi cha Mtume Muhammad SAW ambao kwa mujibu wa riwaya za kuaminika, ni warithi wa Mtume na baada yake wanatambulika kama Maimamu wa jamii ya Kiislamu. Mashia wanaamini kwamba Maimamu hawa wamechaguliwa na Mungu, lakini kwanini?
Habari ID: 3475037   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/14

TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Maswala ya Kidini ya Algeria imelaani mauaji ya imamu wa msikiti katika mkoa wa kaskazini wa Tizi Ouzou wakati akisali Sala ya Alasiri jioni msikitini.
Habari ID: 3474123   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/24

Mshukiwa mmoja amefikishwa mahakamani Marekani baada ya kubainika kuwa alimpiga risasi na kumua Imamu wa msikiti na Mwislamu aliyekuwa naye huko mjini New York huku Waislamu wakitaka uadilifu na haki.
Habari ID: 3470526   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/17

Imam wa msikiti mmoja katika jimbo la New York nchini Marekani ameuawa kwa kufyatuliwa risasi katika hujuma ya kigaidi.
Habari ID: 3470522   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/14