Mwanamieleka

IQNA

Wanamichezo Waislamu
TEHRAN (IQNA) – Sami Zayn, mwanamieleka wa kulipwa wa Kanada mwenye asili ya Syria, ametimiza ndoto yake ya kutekeleza ibada ya Hija ndogo ya Umra huko Makka, mji mtakatifu zaidi katika Uislamu ulioko Saudi Arabia.
Habari ID: 3477061    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/28