WASHINGTON, DC (IQNA) - Jopo la ushauri la serikali ya Marekani limetoa shutuma kuhusu marufuku ya hivi majuzi ya Ufaransa ya wasichana wa shule kuvaa abaya, likisisitiza kwamba marufuku ya mavazi haya marefu yanayotiririka inachukuliwa kama njia ya kuwatisha Waislamu walio wachache.
Habari ID: 3477578 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/10
Chuki dhidi ya Uislamu
GENEVA (IQNA) - Msemaji wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu (OHCHR) amelaani uamuzi wa Ufaransa wa kuwapiga marufuku wanafunzi Waislamu kuvaa abaya.
Habari ID: 3477526 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/31