iqna

IQNA

Rambirambi
IQNA-Viongozi wa dunia wameendelea kutuma salamu za rambi rambi kufuatia kufa shahidi katika ajali ya helikopta jana Seyyed Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Amir Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje, Hujjatul Islam wal Muslimin Al Hashem, mwakilishi wa Waliul Faqih katika Mkoa wa Azabajan Mashariki, Malik Rahmati, Gavana wa Azabajani Mashariki na wote waliokuwa katika msafaraha huo.
Habari ID: 3478855    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/20

Msiba
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa salamu za rambirambi kufuatia kufa shahidi Seyed Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na ujumbe alioandamana nao.
Habari ID: 3478854    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/20

Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
IQNA- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Ebrahim Raisi amekufa shahidi akiwa na wenzake kadhaa katika ajali ya helikopta iliyotokea jana katika mkoa wa Azarbaijan Mashariki, kaskazini magharibi mwa Iran.
Habari ID: 3478852    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/20