IQNA – Makumbusho ya Hazina na Miswada ya Al‑Kafeel, yaliyo ndani ya Haram Tukufu ya Hadhrat Abbas (AS) mjini Karbala, yameweka hadharani Rehal ya mbao ya Msahafu iliyotegenezwa kwa ustadi wa hali ya juu.
Habari ID: 3482367 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/16