Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amelipongeza taifa la Iran kwa kufikisha "ujumbe wa umoja" kwa jamii ya kimataifa katika maadhimisho ya miaka 46 ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kihistoria ya Kiislamu ya Iran ya mwaka 1979.
Habari ID: 3480206 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/13
Ahul Bayt (AS)
IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei ameashiria umuhimu wa Imam Jawad (AS), Imam Hadi (AS) na Imam Askari (AS) katika historia ya Uislamu.
Habari ID: 3480005 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/05
Muqawama
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesifu na kukutaja kuwa ni kwa kipekee kujitolea kwa kamanda mkuu wa Iran wa kupambana na ugaidi, Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, ambaye aliuawa mwaka 2020 akiwa pamoja na wanajihadi wenzake katika shambulio la kigaidi la ndege isiyo na rubani ya Marekani karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baghdad nchini Iraq.
Habari ID: 3479986 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/01
Muqawama
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa Marekani na washirika wake wanakoseka kikamilifu wanapodhani kwamba Muqawama umeishiwa nguvu na umefika ukingoni.
Habari ID: 3479913 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/17
Muqawama
IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei anasema kilichotokea nchini Syria ni "njama ya pamoja ya Marekani na utawala wa Kizayuni", ingawa nchi jirani pia ilishiriki.
Habari ID: 3479892 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/11
Muqawam
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametoa pongezi kwa mashahidi wa muqawama (mapambano ya Kiislamu) na kusema kwamba wameleta heshima katika kambi ya muqawama.
Habari ID: 3479715 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/07
Muqawama
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Wakuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya mahesabu potofu kuhusu Jamhuri ya Kiislamu kwa sababu hawawafahamu vijana na wananchi wa Iran na bado hawajaweza kuelewa ipasavyo nguvu, uwezo, uvumbuzi na irada ya taifa hili.
Habari ID: 3479655 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/27
Rambirambi
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe kufuatia kuuawa shahidi kamanda shujaa wa Mujahidina, Yahya Sinwar, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, HAMAS, na kusisitiza kuwa: "Kama vile safu ya Muqawama (mapambano ya Kiislamu) haikuacha kusonga mbele kwa kuuawa shahidi shakhisia wake mashuhuri, vivyo hivyo haitakoma kwa kuuawa shahidi Sinwar."
Habari ID: 3479615 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/19
Siasa
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, chimbuko la matatizo ya eneo la Asia Magharibi ni mataifa kama Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya zinazodai kwa uwongo kwamba, zinataka amani na utulivu.
Habari ID: 3479525 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/02
Ujumbe
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesisitiza kuwa, watenda jinai wa Kizayuni wajue kwamba wao si lolote kuweza kuusababishia madhara makubwa muundo imara wa Hizbullah ya Lebanon.
Habari ID: 3479501 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/28
Wiki ya Umoja wa Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya nafasi ya watu maalumu katika uundaji wa Umma wa Kiislamu na umoja wa ulimwengu wa Kiislamu na kubainisha kwamba, kwa kuundwa Umma wa Kiislamu, Waislamu kwa nguvu zao za ndani wanaweza kuondoa donda la saratani na khabithi la utawala wa Kizayuni kutoka Palestina na kusambaratisha ushawishi na uingiliaji wa mabavu wa Marekani katika eneo.
Habari ID: 3479460 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/21
Dini
IQNA – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei amesisitiza jinsi Waislamu wanavyomheshimu Nabi Isa au Yesu – Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake-(AS), huku akikemea kudhalilishwa kwa mtume huyo Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3479204 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/30
Kadhia ya Palestina
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza ushujaa wa wananchi wanaodhulumiwa na wenye nguvu wa Ghaza na kusema: Leo bendera ya juu kabisa ya Uislamu iko mikononi mwa watu wa Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479202 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/30
Ayatullah Sayyid Ali Khamene
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameyapongeza maandamano yanayoiunga mkono Palestina katika mataifa ya Magharibi kuwa ni "mwanga wa matumaini unaotia moyo."
Habari ID: 3479077 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/06
Hauli ya Imam Khomeini
IQNA- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei leo mjini Tehran amehutubu katika maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 35 tangu aage dunia Imam Khomeini (MA), mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu na kusema tukio chungu la kumpoteza rais wa nchi na taathira zake ni tukio muhimu zaidi nchini Iran katika mwaka mmoja uliopita.
Habari ID: 3478922 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/03
Diplomasia ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, muqawama ni utambulisho mzuri na bora wa Syria na akaeleza kwamba, nafasi maalumu iliyonayo Syria katika eneo ni kutokana na utambulisho huu na sifa hiyo muhimu inapaswa kuhifadhiwa.
Habari ID: 3478904 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/30
IQNA - "Hija yetu mwaka huu ni Hijja ya bara'at (kujibari na kujiweka mbali na mushirikina) kwa sababu ya kile kinachotokea Gaza na Palestina." Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei. Mei 6, 2024.
Habari ID: 3478892 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/27
Msiba
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa salamu za rambirambi kufuatia kufa shahidi Seyed Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na ujumbe alioandamana nao.
Habari ID: 3478854 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/20
Hija
IQNA - Kundi la kwanza la Wairani walioelekea Hija kutoka Iran waliwasili katika mji mtakatifu wa Madina Jumatatu Mei 13.
Habari ID: 3478816 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/13
Utamaduni
IQNA: Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametembelea Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Tehran na kuweza kufahamu kwa karibu kuhusu sekta ya uchapishaji nchini.
Habari ID: 3478812 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/13