Pentra Bushima Amin

IQNA

IQNA – Ilimchukua mwaka mmoja tu tangu kuifahamu dini ya Uislamu hadi kufika katika Msikiti Mkuu wa Makkah (Masjid al-Haram), akishiriki katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3482624   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/14