Leo, maelfu ya akina mama wa Iran pamoja na watoto wao wameshiriki katika mikusanyiko mingi iliyofanyika kote nchini, kwa ajili ya kuwaunga mkono wananchi wa Gaza na kulaani jinai za utawala wa Israel wa mauaji ya watoto.
Habari ID: 3477768 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/21
Katika siku ya 14 ya uvamizi wa Israeli dhidi ya Ghaza, jeshi linaloikalia kwa mabavu la utawala wa Kizayuni liliendelea kushambulia kwa mabomu maeneo ya makazi ya watu, jambo ambalo lilipelekea makumi ya watu kuuawa shahidi, Kuendelea kushambuliwa kwa mabomu huko Gaza kumesababisha mashahidi 3,785 na zaidi ya 12,000 kujeruhiwa, wengi wao wakiwa watoto na wanawake.
Habari ID: 3477767 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/21
TEHRAN (IQNA) - Mwakilishi wa harakati ya Jihad ya Kiislamu ya Palestina mjini Tehran alitoa wito kwa ulimwengu wa Kiislamu kukusanya nguvu zake zote ili kukabiliana na utawala wa Israel.
Habari ID: 3477763 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/19
TEHRAN (IQNA) - Kufuatia mawimbi ya hivi karibuni ya jinai za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya watu wa Ghaza, hususan shambulio lake katika hospitali iliyoua takriban watu 500, kaburi la Imam Reza (AS) Lilinyanyua bendera nyeusi tarehe 18 mwezi Oktoba.
Habari ID: 3477761 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/19
AL-QUDS (IQNA) - Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamasi Ismail Haniyeh alielezea Operesheni ya Kimbunga cha ya Al-Aqsa iliyoanzishwa na vikosi vya upinzani huko Gaza dhidi ya utawala wa Kizayuni kama kushindwa kwa kimkakati kwa Maadui.
Habari ID: 3477748 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/17
NAIROBI (IQNA) - Waislamu wa Kenya wameitaka serikali ya nchi hiyo ya Kiafrika kuvunja uhusiano na utawala wa Israel kutokana na mauaji yake ya watu wasio na hatia katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3477745 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/17
BEIRUT (IQNA) - Naibu katibu mkuu wa harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon alisisitiza uungaji mkono wa mapambano kati ya watu katika nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3477743 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/17
Kimbunga cha Al-Aqsa
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa juu wa kidini wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq ametoa mwito kwa Waislamu kote duniani kuwaunga mkono, kuwahami na kuwasaidia wananchi wa Palestina, wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea kufanya mashambulizi ya kikatili dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3477709 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/10
GAZA (IQNA) - Tangu kuanza kwa mashambulizi ya kijeshi ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza tarehe 7 Oktoba, utawala huo dhalimu umeshambulia kwa mabomu na kuharibu misikiti saba katika eneo hilo la Palestina lililozingirwa.
Habari ID: 3477708 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/10
Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema utawala wa Kizayuni wa Israel utachapwa "kibao kikali zaidi" kwa mauaji inayoendelea kufanya dhidi ya wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza iliouwekea mzingiro.
Habari ID: 3477707 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/10
TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Hamas amepongeza operesheni ya hivi karibuni iliyozinduliwa Gaza kama sura mpya katika makabiliano dhidi ya wavamizi wa Israeli.
Habari ID: 3477703 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/09
TEHRAN (IQNA) –Wananchi wa jiji la Tehran wamekusanyika mbele ya ubalozi wa Palestina kusherehekea ushindi wa kihistoria waliopata wanapambano wa Palestina katika shambulio kubwa walilofanya jana Jumamosi dhidi ya Wazayuni.
Habari ID: 3477700 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/08
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Jeshi katili la Israel siku ya Jumamosi lilianzisha mashambulizi ya anga kwenye Ukanda wa Gaza, na kuua Wa palestina wasiopungua 198, wakiwemo wanawake na watoto, katika eneo hilo.
Habari ID: 3477699 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/07
Milad un Nabii
AL-QUDS (IQNA) - Wa palestina waliadhimisha Maulidi yaani kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW) huko Al-Khalil na hasa katikak Msikiti Ibrahim huku kukiwa na vikwazo vikali vilivyowekwa na utawala haramu wa Israel ambao unaongoza kampeni ya kupinga Maulidi.
Habari ID: 3477668 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/29
Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) - Vikosi vya utawala katili wa Israel siku ya Jumatano viliwashambulia Wa palestina , wakiwemo wanawake na watoto, ambao walikuwa wakiadhimisha siku ya kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW) huko Al Quds (Jerusalem) Mashariki. Mji huo mtakatifu unakaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3477664 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/28
Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani uamuzi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuhamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv hadi Al Quds inayokaliwa kwa mabavu (Jerusalem) na kutaka kuangaliwa upya uamuzi huo.
Habari ID: 3477647 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/24
Watetezi wa Quds Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Wanafunzi wa vyuo vikuu vya Mauritania wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Nouakchott, wakilaani kuanzishwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya Waarabu na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3477643 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/23
Kadhia ya Palestina
AL-QUDS (IQNA) - Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa al-Quds (Jerusalem) ni mahali pa ibada kwa Waislamu peke yao na ni haki takatifu isiyopingika kwao, mkuu wa Kamati ya Juu ya Rais ya Masuala ya Kanisa huko Palestina alisema.
Habari ID: 3477628 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/20
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)-Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mauaji ya Wa palestina wa Sabra na Shatila yaliyofanywa na askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameandika ujumbe usemao: Sabra na Shatila daima litabaki kuwa doa la aibu kwenye vipaji vya waungaji mkono wa utawala wa Israel na watetezi wa kizandiki wa haki za binadamu hususan Marekani na Uingereza.
Habari ID: 3477606 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/16
Ukombozi wa Palestina
TEHRAN (IQNA) Harakati ya Mapambano (Muqawama) ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imekosoa vikali kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ya kuyataka mapambano ya wapigania ukombozi Wa palestina dhidi ya utawala ghasibu wa Israel kuwa eti ni "vurugu" na kusisitiza kwamba kinachofanyika katika ardhi za Palestina ni haki ya kujihami dhidi ya utawala unaokalia ardhi kwa mabavu.
Habari ID: 3477602 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/15