iqna

IQNA

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Mufti wa Oman Sheikh Ahmed bin Hamad al-Khalili ameitaka serikali ya nchi hiyo ibatilishe uamuzi wake wa kuruhusu anga yake kutumiwa na ndege za utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3476626    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/26

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesisitiza kuwa, jinai za utawala ghasibu wa Israel zitajibiwa na wanamapambano shupavu wa Ki palestina na katu hazibakia hivi hivi bila ya majibu.
Habari ID: 3476625    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/25

Taazia
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejiunga na maafisa wengine wa Iran katika kutoa mkono wa pole kufuatia kifo cha balozi wa miaka mingi na mkongwe wa Palestina, hapa nchini Iran. Balozi Salah al Zawawi alifariki dunia Jumatatu akiwa na umri wa miaka 85 katika hospitali moja ya hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3476600    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/21

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema mapatano yaliyofikiwa karibuni baina ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina na utawala haramu wa Israel kwa mashinikizo ya Marekani ni usaliti kwa kambi ya muqawama ya Wa palestina .
Habari ID: 3476599    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/21

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Idadi kubwa ya watu nchini Jordan wanakataa kutambuliwa kwa utawala wa Israel na uhusiano nao, utafiti mpya unaonyesha.
Habari ID: 3476572    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/16

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Mwanaume wa Ki palestina ameuawa shahidi na walowezi Wazayuni Waisraeli siku ya Jumamosi katika eneo la Palestina la Ukingo wa Magharibi linalokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
Habari ID: 3476553    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/12

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Meya wa jiji la Uhispania la Barcelona ametangaza kusimamisha uhusiano na Tel Aviv kutokana na Israel kukiuka haki za watu wa Palestina kwa njia "iliyoratibiwa".
Habari ID: 3476542    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/10

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi katili wa utawala haramu wa Israel wamewapiga risasi na kuwaua Wa palestina arobaini na wawili wakiwemo watoto tisa tangu mwanzoni mwa mwaka huu.
Habari ID: 3476540    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/10

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema utawala wa Israel "lazima uvunje mfumo wa ubaguzi wa rangi au apathaidi ambao unasababisha mateso na umwagaji damu mkubwa" katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3476502    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/02

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema zaidi ya Wa palestina milioni mbili huko Gaza (Ghaza) wanateseka kutokana na mzingiro wa miaka 16 wa utawala haramu wa Israel dhidi ya eneo hilo.
Habari ID: 3476492    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/31

Jibu kwa jinai Israel
TEHRAN (IQNA)- Wazayuni saba waangamizwa Palestina kaskazini ya mji wa Al Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala dhalimu wa Israel.
Habari ID: 3476475    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/28

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wamevamia kambi ya wakimbizi wa Palestina katika mji wa Jenin na kuwauwa shahidi Wa palestina 9.
Habari ID: 3476467    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/26

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA) - Balozi wa Qatar katika Umoja wa Ulaya na muungano wa kijeshi wa NATO amesisitiza uungaji mkono wa nchi yake kwa ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3476463    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/25

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Utawala ghasibu wa Israel unaripotiwa kupanga kujenga nyumba 18,000 zaidi vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokoloniwa na utawala huo huko Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3476462    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/25

Jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
TEHRAN (IQNA)-Askari wa jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambulia kambi ya wakimbizi ya Wa palestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu, na kuua shahidi Wa palestina wawili.
Habari ID: 3476431    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/19

Jinai za utawala haramu wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Januari 19 inatambuliwa katika kalenda ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni "Siku ya Ghaza" kwa mnasaba wa kumbukumbu ya vita vya siku 22 vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza (Gaza) huko Palestina.
Habari ID: 3476430    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/19

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Zaidi ya nchi 90 zimeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel kuacha hatua za kuwaadhibu Wa palestina kufuatia ombi la Umoja wa Mataifa la kutaka maoni ya ushauri kutoka kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ).
Habari ID: 3476415    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/17

Njama dhidi ya Al Aqsa
TEHRAN (IQNA)- Mufti wa Oman Sheikh Ahmed bin Hamad al-Khalili amesema, mwenendo ulioanzishwa na baraza la mawaziri la utawala haramu wa Kizayuni lenye misimamo ya kufurutu ada wa kuuvamia Msikiti wa Al-Aqsa unamaanisha kutangaza vita dhidi ya Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3476409    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/15

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Afisa mmoja wa Palestina anasema takriban wakazi 13,000 Wa palestina katika mji wa al-Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu huenda wakalazimika kuyahama makazi yao kutokana na sera za utawala ghasibu wa Israel.
Habari ID: 3476398    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/13

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Waandishi habari wapatao hamsini na watano wa Ki palestina wameuawa na utawala katili wa Israel tangu mwaka 2000 ikiwa ni katika njama za utawala huo wa kikoloni za kuzuia habari za jinai zake dhidi ya Wa palestina kuwafikia walimwengu.
Habari ID: 3476384    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/11