iqna

IQNA

Watetezi wa Palestina
CAIRO (IQNA) - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimesema wakati umefika kwa watu wote wanaopenda uhuru duniani kuungana kwa ajili ya kuundwa taifa huru la Palestina ili kukomesha ubeberu na ukaliaji mrefu zaidi wa ardhi ya wengine katika historia.
Habari ID: 3477968    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/30

Waungaji mkono Palestina
TEHRAN (IQNA)- Katika muendelezo wa himaya na uungaji mkono wa ulimwengu kwa mapambano ya wananchi wa Gaza na kulaani jinai za utawala ghasibu wa Israel, maelfu ya wananchi wa Pakistan wameandamana na kuelekea katika ubalozi mdogo wa Marekani.
Habari ID: 3477967    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/30

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Kundi la wataalam kutoka nchi mbalimbali watafanya mkutano wa kimataifa tarehe 29 Novemba 2023, kujadili kufeli sheria za kimataifa na mashirika ya kuwalinda Wa palestina katika kukabiliana na ugaidi wa kiserikali wa utawala haramu Israel.
Habari ID: 3477957    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/28

Umoja wa Waislamu
TEHRAN (IQNA) – Mauaji ya kimbari ambayo yanatekelezwa na utawala wa Israel dhidi ya Wa palestina huko Gaza yalitokea kwa sababu Umma wa Kiislamu umegawanyika, jambo ambalo ni la kusikitisha kabisa, mchambuzi wa masuala ya kisiasa na umma wa Nigeria amesema.
Habari ID: 3477956    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/28

Jinai Marekani
VERMONT (IQNA) - Polisi wa Jimbo la Vermont waliripoti Jumapili kwamba vijana watatu wa Ki palestina walipigwa risasi na kujeruhiwa karibu na Chuo Kikuu cha Vermont.
Habari ID: 3477954    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/27

Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, Harakati ya Kiislamu (Muqawama) ya Kupigania Ukombozi wa Palestina (HAMAS) ilivunja mgongo wa Israel kwa kutegemea imani na ushujaa katika operesheni ya kimbunga ya Al-Aqswa.
Habari ID: 3477938    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/24

Diplomasia ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza utayarifu kamili wa muqawama katika nyanja mbalimbali na kuutaja ushindi wa mwisho wa muqawama na kushindwa adui Mzayuni kkwamba, ni hakika na jambo lisilo la shaka.
Habari ID: 3477936    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/24

Mapambano dhidi ya Israel
SANAA (IQNA) - Yemen imevurumisha makombora ya cruise dhidi ya maeneo ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel
Habari ID: 3477933    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/23

Waungaji mkono Palestina
TEHRAN (IQNA)- Wabunge wa Afrika Kusini wamepiga kura ya kufunga ubalozi wa utawala wa kibaguzi wa Israel katika nchi hiyo.
Habari ID: 3477930    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/22

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amesema utawala haramu wa Israel "iliangushwa" katika Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa, operesheni kubwa zaidi ya kijeshi kuwahi kufanywa na makundi ya kupigania ukombozi wa Palestina dhidi ya utawala huo ghasibu.
Habari ID: 3477929    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/22

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Mwanaharakati wa Gaza na mkuu wa shirika la kutoa misaada anasema Wa palestina hawawezi tena kuamini sheria za kimataifa kwani zimeshindwa kuwalinda watoto ambao wanakabiliwa na uvamizi wa kikatili wa Israel.
Habari ID: 3477926    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/21

KUALA LUMPUR (IQNA) – Mkutano ulifanyika katika Msikiti wa Sultan Iskandar ulioko Bandar Dato' Onn huko Johor, Malaysia, Jumapili jioni kwa ajili ya mshikamano na watu wa Palestina.
Habari ID: 3477920    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/20

Diplomasia ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi amewaandikia barua wakuu na viongozi wa nchi 50 duniani kuwahimiza kuwa na kauli moja kuhusu wajibu wa kukomeshwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wa Gaza.
Habari ID: 3477919    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/20

Jinai za Israel
RABAT (IQNA) - Shirika la Kiislamu la Elimu, Sayansi, na Utamaduni (ISESCO) limetoa tamko kali siku ya likilaani mashambulizi ya anga ya Israel dhidi ya shule mbili kaskazini mwa Ukanda wa Gaza kuwa ni "fedheha kwa ubinadamu" na "uhalifu wa kutisha".
Habari ID: 3477917    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/20

Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) - Msikiti wa Jamia wa Omari, ambao ni moja ya misikiti mikongwe zaidi katika Jiji la Kale la Gaza, uliripotiwa kulengwa katika mashambulizi ya anga ya utawala katili wa Israel siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3477910    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/18

Waungaji mkono Palestina
WASHINGTON, DC (IQNA) - Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Stanford nchini Marekani wamefanya mgomo wa kujilaza chini ndani ya chuo kwa karibu mwezi mmoja kulaani ukatili wa Israel huko Gaza na kuwataka maafisa wa chuo kikuu kususia miradi na taasisi za kitaaluma za Israel.
Habari ID: 3477909    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/18

Jinai za Israel
GAZA (IQNA)- Utawala haramu wa Israel umeua shahidi zaidi ya Wa palestina 12,000, wakiwemo watoto wasiopungua 5,000 tokea uanzishe vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba 7.
Habari ID: 3477908    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/18

Fikra
TEHRAN (IQNA) – Wanafalsafa na wanafikra wa Kiislamu pia wamekuwa wakitilia maanani maendeleo ya ummah Kiislamu pamoja na kujihusisha na fikra za kina za kifalsafa.
Habari ID: 3477905    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/17

Jinai za Israel Gaza
TEHRAN (IQNA)- Wataalam wa Umoja wa Mataifa wametoa wito kwa Jumuiya ya kimataifa kuzuia mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Palestina wa Gaza huku utawala katili wa Israel ukiendeleza vita vyake dhidi ya eneo hilo lililozingirwa.
Habari ID: 3477903    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/17

Muqawama (Mapambano ya Kiislamu)
BEIRUT (IQNA)- Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon ameongeza kuwa, "Kuhusu kuenea kwa vita, uwezekano huo upo, iwapo watatushambulia, tutalazimika kujihami na tutatumia nguvu zetu zote. Hatuogopi vitisho vya Israel, tunaamini kuwa tutashinda."
Habari ID: 3477901    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/17