Ujumbe wa Siku ya Kimataifa ya Quds
TEHRAN (IQNA)-Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imekumbusha wajibu wa kisheria wa mashirika na taasisi za kimataifa na za kutetea haki za binadamu wa kuunga mkono haki za watu walio chini ya utawala ghasibu huko Palestina, na kutoa wito wa kukomeshwa uvamizi huo na kusimamisha jinai za Wazayuni.
Habari ID: 3476862 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/13
Rais wa Iran
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi amesema: taifa adhimu la Iran litatangaza kwa mara nyingine tena kwamba litabaki kuwa thabiti katika malengo ya Uislamu hadi itakapokombolewa Quds kikamilifu, kwa kushiriki kwa wingi katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds.
Habari ID: 3476859 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/13
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Kamati ya Kiislamu na Kikristo inayounga mkono Quds Tukufu (Jerusalem) na Matukufu yake imetoa wito wa kuuwajibisha utawala wa Kizayuni wa Israel kwa jinai zake dhidi ya Wa palestina .
Habari ID: 3476845 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/11
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amefanya mazungumzo ya simu na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) na kutoa wito wa kuitishwa kikao cha dharura cha jumuiya hiyo ili kukabiliana na mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa.
Habari ID: 3476835 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/08
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeitisha mkutano wa dharura kujadili hali ilivyo katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, baada ya askari wa utawala haramu wa Israel kuvamia Msikiti wa al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem) na kuwalenga waumini wa Ki palestina kwa guruneti.
Habari ID: 3476827 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/07
Jinai za Israel
JTEHRAN (IQNA)- umuiya ya Nchi za Kiarabu imelaani vikali hujuma ya hivi karibuni zaidi ya utawala haramu Israel dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa katika Mji Mkongwe wa al-Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na Israel. Jumuiya hiyo pia limelaani hujuma ya kikatili ya askari wa utawala haramu wa Israel dhidi ya waumini wa Ki palestina waliokuwa katika msikiti huo kwa ajili ya ibada katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476819 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/06
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)-Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa, damu mashahidi wa Palestina italinda utambulisho wa Ki palestina , Kiarabu na Kiislamu wa msikiti mtakatifu wa al-Aqsa ulio katika mji wa Quds au Jerusalem.
Habari ID: 3476796 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/01
Ukombozi wa Palestina
TEHRAN (IQNA) – Wa palestina ndani na nje ya nchi yao siku ya Alhamisi waliadhimisha kumbukumbu ya miaka 47 ya Siku ya Ardhi.
Habari ID: 3476788 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/31
Kusambaratika Israel
TEHRAN (IQNA) – Akiashiria sehemu ya aya ya 2 ya Sura Al Hashr katika Qur’ani Tukufu, naibu kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amegusia mgogoro mkubwa katika utawala haramu wa Israel na kuandika: “Wakawa wanazibomoa nyumba zao kwa mikono yao na mikono ya Waumini.”
Habari ID: 3476773 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/28
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Jordan inapaswa kujiandaa kwa "makabiliano ya kweli" na utawala haramu wa Israel, afisa wa zamani wa Jordan amesema.
Habari ID: 3476743 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/22
TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas ilionyesha upinzani dhidi ya ushiriki wa makundi ya Wa palestina katika mkutano uliopangwa kufanyika huko Sharm El-Sheikh wa Misri unaodaiwa kuwa na lengo la kupunguza hali ya wasiwasi katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3476731 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/19
Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA)- Mamia ya Wa palestina wakazi wa mji wa Al Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na Israel wameanzisha kampeni ya kuusafisha Msikiti mtukufu wa Al-Aqsa sambamba na kukaribia mwandamo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476728 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/19
Kususia utawala bandia wa Israel
TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya vipeperushi 20,000 vinavyowahimiza Waislamu kutizama lebo yaani #CheckTheLabel na kususia bidhaa za utawala haramu wa Israel vimesambazwa katika misikiti kote Uingereza, sanjari na Ijumaa ya mwisho kabla ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, waandaaji walisema Ijumaa.
Habari ID: 3476724 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/18
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel usithubutu kuhujumu na kuuvamia Msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3476714 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/16
Kadhia ya Quds Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Kongamano la dini mbalimbali mjini Roma, Italia limesisitiza umuhimu wa uhuru wa kuabudu mjini al-Quds (Jeruslaem) kwa waumini wa dini za Kiislamu, Kikristo na Kiyahudi.
Habari ID: 3476696 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/12
Kiongozi wa Hizbullah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, eneo bila kuwepo Israel si ndoto na matarajio tu bali ndio uhalisia utakashuhudiwa katika mustakabali.
Habari ID: 3476693 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/11
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema matukio na maendeleo yanayoshuhudiwa hivi sasa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ni ishara tosha kuwa suala la kuporomoka kwa utawala wa Kizayuni wa Israel ni hakika ambayo itafanyika katika mustakabali wa karibu.
Habari ID: 3476679 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/08
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu ametoa tahadhari kutokana na wito wa waziri wa utawala wa Israel ambaye ametaka kuangamizwa kwa kijiji kizima cha Wa palestina .
Habari ID: 3476657 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/04
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Mkuu wa idara ya uhusiano wa kimataifa katika Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) anasema kushindwa kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa katika kushughulikia jinai iliyotendwa hivi karibuni na utawala haramu wa Israel katika eneo la Huwara ni jambo ambalo litaupa kiburi utawala huo kuendeleza jinai zake.
Habari ID: 3476650 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/03
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Baraza Kuu na nchi zote duniani, kutekeleza wajibu wao wa kimataifa wa kisheria, kiutu na kimaadili ili kuwatetea watu wasio na ulinzi wa Palestina na katika mkabala wa uvamizi na hujuma za utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3476645 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/02