palestina - Ukurasa 11

IQNA

Jinai za Israel
IQNA - Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake hii leo, ofisi ya vyombo vya habari vya serikali huko Gaza imeomboleza wanawake 8,900 wa Kipalestina waliouawa tangu Oktoba wakati utawala katili wa Israel ulipoanza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika eneo hilo.
Habari ID: 3478468   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/08

Kadhia ya Palestina
IQNA - Utawala wa Kizayuni wa Israel unaokalia kwa mabavu ardhi za Palestina umetangaza siku ya Jumanne kwamba utawaruhusu waumini kuingia katika Msikiti wa al-Aqsa katika eneo la Quds (Jerusalem) katika wiki ya kwanza ya mwezi wa Ramadhani, na hivyo kutupilia mbali mpango wa awali wa kuweka vizuizi.
Habari ID: 3478461   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/06

Kadhia ya Palestina
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepanda mzeituni katika hatua ambayo ameitaja kuwa ni mshikamano na wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina.
Habari ID: 3478453   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/05

Kadhia ya Palestina
IQNA - Makundi kadhaa ya wapigania ukombozi wa Palestina yametoa wito kwa watetezi wa haki kote ulimwenguni kujiunga na kampeni ya kimataifa iliyopewa jina la "Kimbunga cha Ramadhani.
Habari ID: 3478449   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/04

Jinai za Israel
IQNA-Viongozi wa dunia wameendelea kulaani kitendo cha wanajeshi wa Israel kuwaua Wapalestina 116 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 760 waliokuwa wakisubiri msaada wa chakula katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3478438   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/02

Jinai za Israel
IQNA - Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa kinapanga kuandaa kongamano la kimataifa la "Miaka 75 ya kukaliwa kwa mabavu Palestina".
Habari ID: 3478437   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/01

Uchaguzi wa Iran
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema: Maadui wa Iran ya Kiislamu wana hofu ya kushiriki kwa wingi kwa wananchi katika uchaguzi hapa nchini.
Habari ID: 3478428   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/28

Watetezi wa Palestina
IQNA-Waziri Kiongozi wa Scotland Humza Yousaf ameitaka Serikali ya Uingereza kusitisha uuzaji wa silaha kwa utawala wa Israel kutokana na utawala huo wa Kizayuni kuendeleza mauaji ya kimbari ya raia Wapalestina katika Ukanda Gaza.
Habari ID: 3478417   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/26

Jinai za Israel
IQNA-Mkuu wa Kitengo cha Asia Magharibi katika Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema: Idadi ya raia na waandishi wa habari waliouawa huko Gaza haina mfano.
Habari ID: 3478363   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/16

Harakati za Qur'ani
IQNA - Makumi ya watoto huko Rafah, kusini mwa Gaza, ambao wamehitimu katika mafunzo ya
Habari ID: 3478360   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/16

Watetezi wa Palestina
IQNA - Hatua za kivita za utawala wa Israel huko Rafah "zinathibitisha" usahihi wa kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya utawala huo katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amesema.
Habari ID: 3478356   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/15

Watetezi wa Palestina
IQNA-Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimelaani mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika mji wa Rafah kusini mwa Gaza, na kuonya kuhusu maafa ya binadamu katika eneo hilo.
Habari ID: 3478350   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/14

Jinai za Israel
IQNA-Utawala katili wa Israel umeendeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza kwa kutekeleza mashambulizi makubwa ya anga na mizinga katika mji wa Rafah kusini mwa ukanda huo na kuua na kujeruhi mamia ya raia wengi wao wakiwa wanawake na watoto.
Habari ID: 3478339   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/12

Jinai za Israel
IQNA - Msichana wa Kipalestina mwenye umri wa miaka sita, ambaye alikuwa ametoweka kwa wiki mbili baada ya gari la familia yake kufyatuliwa risasi na wanajeshi katili wa utawala haramu wa Israel, alipatikana amekufa.
Habari ID: 3478327   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/10

Jinai za Israel
IQNA-Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limeonya kwamba mashambulizi ya utawala haramu wa Israel dhidi ya mji wa mpakani wa Rafah wenye msongamano mkubwa wa watu Gaza yatakuwa "kichocheo cha maafa."
Habari ID: 3478326   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/09

Watetezi wa Palestina
IQNA - Mashabiki wa soka wanamtaja Mousa Mohammad Mousa Sulaiman Al-Tamari kama "Messi wa Jordan".
Habari ID: 3478318   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/07

Watetezi wa Palestina
IQNA - Maandamano yalifanyika mjini Brussels siku ya Jumatatu kupinga jinai ya Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza ikiwa ni pamoja na mauaji ya waandishi wa habari.
Habari ID: 3478311   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/06

Ulimwengu wa Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, anasema wasomi wa Ulimwengu wa Kiislamu wanabeba dhima nzito kuhusiana na matukio yanayojiri huko Gaza na kwamba wanapaswa kuanzisha matakwa ya umma ya kukata uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3478310   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/05

Waislamu Marekani
IQNA - Polisi wameimarisha doria katika nyumba za ibada na "vituo vikuu vya miundombinu" huko Dearborn, jimbo la Michigan nchini Marekani.
Habari ID: 3478304   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/04

Watetezi wa Palestina
IQNA - Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amepongeza uungaji mkono wa Iran kwa harakati za muqawama au mapambano ya Kiislamu na kusema uungaji mkono huo unafanyika bila ya kutarajia chochote mkabala wa uungaji mkono huo.
Habari ID: 3478295   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/03