iqna

IQNA

Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) – Utawala wa Kizayuni wa Israel hadi sasa umeshambulia na kuharibu kabisa kwa mabomu misikiti 56 tokea unazish vita vya maangamizi ya umati dhidi ya Ukanda wa Gaza. Aidha misikiti mingine zaidi ya 192 imepata hasara kwa kuharibiwa katika mashambulizi hayo ya kinyama.
Habari ID: 3477855    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/07

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na ujumbe alioandamana nao wamekutana na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei.
Habari ID: 3477847    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/06

Kimbunga cha Al Aqsa
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, ameilaani vikali Marekani kutokana na uungaji mkono wake usio na masharti kwa kampeni ya kijeshi ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza. Aidha amesema utawala wa Israel umepata idhini ya Marekani ya kutekeleza mashambulizi dhidi ya Wa palestina katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3477842    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/05

Kimbunga cha Al Aqsa
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema: Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa ilibadilisha m mpangilio mlingano wa mfumo wa kimataifa.
Habari ID: 3477838    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/04

Kimbunga cha Al Aqsa
Al-QUDS (IQNA) - Kiongozi mkuu wa zamani wa harakati ya Jihad Islami (Jihadi ya Kiislamu) ya Palestina amesisitiza kuhusu azma ya taifa la Palestina kutetea ardhi yao inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3477837    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/04

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Ikiwa ni katika muendelezo wa mauaji ya raia yanayofanywa na utawala haramu wa Israel, ndege za kivita za utawala huo hivi karibuni zilishambulia kwa mabomu kambi ya wakimbizi ya Jabalia iliyoko kaskazini mwa Ukanda wa Gaza na kuua kwa umati zaidi ya raia mia moja wa Palestina na kujeruhi wengine zaidi ya mia tatu.
Habari ID: 3477833    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/03

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA)- Akizungumza leo katika sala ya Ijumaa ya mjini Tehran, Hujjatul Islam wal Muslimeen Kazem Sediqi amesema kuwa leo mrengo wa mapambano ya Kiislamu ni mrengo wa kimataifa na kuongeza kwamba mrengo huo umabadilisha dunia.
Habari ID: 3477832    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/03

Waungaji mkono Wapalestina wanaodhulumiwa
LILONGWE (IQNA) - Kundi la Waislamu, wakiwemo wanafunzi chuo cha Kiislamu, walifanya maandamano nchini Malawi mauaji ya kimbari yanayotekelezwa wa utawala wa Israel dhidi ya Wa palestina wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3477831    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/02

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Ali Barka, mmoja wa viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiisalmu ya Palestina, ,Hamas , nje ya nchi amesema kuwa, utawala haramu wa Israel unawaangamiza Wa palestina kwa umati kwa mabomu ya kisasa ya Marekani.
Habari ID: 3477829    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/02

Jinai za Israel
GENEVA (IQNA) - Kamati ya haki za watoto ya Umoja wa Mataifa imeonya kuhusu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya watoto katika vita vinavyoendelea vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Gaza, ikilaani vikali mauaji yanayotekelezwa na utawala huo dhidi watoto katika vita hivyo vya kikatili.
Habari ID: 3477828    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/02

Kadhia ya Palestina
SANTIAGO (IQNA) - Baada ya Bolivia kukata uhusiano wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel, nchi nyingine mbili za Amerika ya Latini zimewataka mabalizo wao walioko Israel kurejea nyumbani.
Habari ID: 3477826    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/01

Kadhia ya Palestina
DOHA (IQNA) - Muungano wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) ulitoa fatwa siku ya Jumanne, ukizitaka nchi za Kiislamu kuingilia kati ili kuwaokoa watu wa Gaza kutokana na mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3477825    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/01

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wa palestina wasiopungua 400, wengi wao wakiwa ni wanawake na watoto, wamethibitishwa kuuawa na kujeruhiwa baada ya mashambulizi ya anga ya utawala katili wa Israel dhidi ya wakimbizi ya Jabaliya katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3477823    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/01

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA)- Katika kueleza mafanikio ya subira na kusimama kidete Wa palestina katika Ukanda wa Gaza, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Watu wa Ghaza wameamsha dhamiri ya mwanadamu kwa subira yao.
Habari ID: 3477822    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/01

Kimbunga cha Al Aqsa
CAIRO (IQNA) – Sheikhe mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri amesifu ushujaa na ujasiri wa watu wa Ukanda wa Gaza katika kukabiliana na mashambulizi makali ya Israel.
Habari ID: 3477821    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/31

Chuki dhidi ya Uislamu
LONDON (IQNA) - Msikiti mmoja huko Oxford umelengwa na "shambulio la chuki dhidi ya Uislamu na kigaidi" kufuatia jamii ya Waislamu kuunga mkono Wa palestina wanaoteswa na Israel huko Gaza.
Habari ID: 3477812    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/30

Kimbunga cha Al Aqsa
TEHRAN (IQNA) - Mhimili wa muqawama (mapambano ya Kiislamu) uko macho na hautaruhusu utawala wa Kizayuni kuibua Nakba (maafa) tena dhidi ya ya watu wa Palestina, mchambuzi wa kisiasa wa Lebanon alisema.
Habari ID: 3477811    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/30

Watetezi wa Palestina
TEHRAN (IQNA) -Makumi kwa maelfu ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina waliandamana nchini Uingereza Jumamosi wakitaka kusitishwa kwa mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na jeshi katili la Israel dhidi ya Wa palestina katika Ukanda wa Ghaza. Mbali na Uingereza, maandamano kama hayo yamefanyika pia Ufaransa na Uswisi.
Habari ID: 3477810    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/29

Diplomasia
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo ya simu aliyofanya na Amir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad bin Khalifa Al Thani kwamba, leo taifa la Palestina linahitaji zaidi uungaji mkono athirifu wa walimwengu na hasa wa nchi za Kiislamu kuliko wakati wowote ule.
Habari ID: 3477809    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/29

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Sambamba na kuanza operesheni ndogo ya nchi kavu ya jeshi katili la utawala haramu Israel kwa lengo la kujipenyeza Ghaza usiku wa kuamkia leo, zaidi ya raia 100 Wa palestina wameuawa shahidi huku utawala huo ukilaaniwa kote duniani kwa kutekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wa palestina . Hayo yamejiri huku Umoja wa Mataifa ukitaka vita visitishwe mara moja.
Habari ID: 3477800    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/28