AL-QUDS (IQNA) - Utawala wa Israeli umetoa idhini yake kwa ajili ya ujenzi wa vituo vitatu vipya vya walowezi katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3477577 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/10
Mapambano ya Kiislamu (Al-Muqawama Al-Islamiya)
TEHRAN (IQNA)- Viongozi wa harakati za mapambano ya Kiislamu (Al-Muqawama Al-Islamiya) za Palestina na Lebanon wameapa kushirikiana ili kutoa jibu la pamoja dhidi ya sera za uvamizi za utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3477543 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/03
Kadhia ya Palestina
Al QUDS (IQNA) - Makumi ya maelfu ya Wa palestina wameshiriki katika Sala ya Ijumaa ya jana iliyosaliwa kwenye Msikiti wa Al-Aqsa mjini Al Quds (Jerusalem) licha ya kuwekewa vizuizi na kukabiliwa na hatua kali za kiusalama zilizochukuliwa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika mji huo unaoukalia kwa mabavu.
Habari ID: 3477538 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/02
Watetezi wa Palestina
TUNIS (IQNA) - Rais wa Tunisia amesistiza kuwa nchi yake kati haitaanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel , akisema neno hilo halipo hata katika kamusi ya Tunisia.
Habari ID: 3477527 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/31
Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) - M palestina aliyekuwa na umri wa miaka 20 amefariki dunia kutokana na majeraha mwezi mmoja baada ya kupigwa risasi na askari katili wa utawala haramu wa Israel waliokuwa wakishamulia eneo moja la Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3477504 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/27
Diplomasia
TEHRAN (IQNA)-Mkutano wa kilele wa BRICS ulitoa wito wa kuanzishwa kwa taifa huru la Palestina na Jerusalem Mashariki kama mji mkuu wake.
Habari ID: 3477497 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/25
Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) - Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeisitiza umuhimu wa kuhifadhi hadhi ya kihistoria na kisheria ya maeneo matakatifu ya Kiislamu na Kikristo huko al-Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3477482 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/22
Diplomasia
ALGIERS (IQNA)- Naibu Spika wa Bunge la Algeria amesisitiza kuwa, taifa hilo la kaskazini mwa Afrika halitafuata mkumbo wa nchi nyingine za Kiarabu wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel, akisisitiza kuwa Waalgeria wanautazama utawala huo kuwa wa kikoloni.
Habari ID: 3477450 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/17
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) wamelaani uvamizi wa mara kwa mara wa wanajeshi wa utawala haramu Israel na walowezi wa Kizayuni wenye itikadi kali kwenye jengo la Msikiti wa al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem), na kuutaja utaratibu huo kuwa ni uvunjaji wa sheria za kimataifa.
Habari ID: 3477376 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/03
Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA)- Ripoti ya Umoja wa Mataifa imebaini kuwa na vikosi vya kijeshi vya utawala haramu wa Israel vilibomoa majengo 54 yanayomilikiwa na Wa palestina huko Al-Quds (Jerusalem) Mashariki katika tarafa kubwa zaidi ya eneo la Ukingo wa Magharibi linalokaliwa kwa mabavu mwezi Julai.
Habari ID: 3477353 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/29
Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) - Wa palestina walishambuliwa na walowezi wa Kizayuni kwenye barabara na makutano kadhaa katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu siku ya Jumapili.
Habari ID: 3477299 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/18
Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) – Utawala haramu wa Israel unapanga kuteka maeneo ya kiakiolojia ya Wa palestina kote Ukingo wa Magharibi, Mamlaka ya Ndani ya Palestina (PA) ilionya.
Habari ID: 3477292 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/16
Kadhia ya Palestina
BRUSSELS (IQNA)- Katika kikao chake cha hivi karibuni kabisa, Bunge la Ulaya limeutaka Umoja wa Ulaya na nchi wanachama wa umoja huo kuitambua rasmi nchi ya Palestina.
Habari ID: 3477280 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/14
Shambulio la wanajeshi wa Kizayuni katika eneo la kuvutia la Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
Habari ID: 3477183 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/24
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema njama za Wazayuni za kupika majungu ya fitina ili kuibua mifarakano na kuyagawa makundi ya muqawama zimefeli na kusisitiza kwamba, utawala huo wa Kizayuni karibuni utapigishwa magoti na wanamuqawama katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3477180 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/22
Jinai za Israel
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo mikali asubuhi ya leo wameuvamia tena msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu.
Habari ID: 3477120 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/08
Mapambano
Duru za utawala wa Kizayuni wa Israel zimethibitishwa kuwa, wanajeshi watatu utawala huo wameangamizwa wengine kadhaa kujeruhiwa katika shambulio la risasi kwenye mipaka ya Misri na Palestina inayokalia kwa mabavu ambayo imepachikwa jina bandia la Israel
Habari ID: 3477103 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/05
TEHRAN (IQNA) Hisham Barzeq ni M palestina mwenye umri wa miaka 68 ambaye ana chumba kidogo katika moja ya misikiti huko Gaza.
Habari ID: 3477096 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/04
Imam Khomeini
TEHRAN (IQNA)- Mwanachama wa ngazi ya juu wa harakati ya Jihad ya Kiislamu ya Palestina amesema mtazamo wa kina wa Imam Khomeini (AS) kuhusu suala la Palestina ulitokana na utambuzi wake wa Qur'ani na kidini.
Habari ID: 3477086 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/03
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Utawala wa Israel umeripotiwa kuteka eneo la kihistoria la Wa palestina la Nebi Samuel, lililoko katika Ukingo wa Magharibi wa Mto unaoukalia kwa mabavu na makazi ya kanisa, msikiti na sinagogi, chini ya kisingizio "mbuga ya kitaifa".
Habari ID: 3477080 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/02