iqna

IQNA

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran hatua ya Saudia kuwaua watoto nchini Yemen ni sawa na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel ambao umekuwa ukiwaua watoto Wapalestina huko Ghaza na pia nchini Lebanon.
Habari ID: 3470625    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/21

Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ni kiongozi pekee wa Kiarabu aliyehudhuria mazishi ya rais wa zamani wa utawala bandia wa Israel, maarufu kama katili wa Qana.
Habari ID: 3470587    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/30

Rais wa zamani wa utawala haramu wa Israel, katili Shimon Peres ameaga amekufa usiku wa kuamkia leo, wiki mbili baada ya kupatwa na kiharusi
Habari ID: 3470583    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/28

Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambulia kambi ya wakimbizi wa Kipalestina katika Quds Tukufu (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu na kumuua shahidi kijana Mpalestina.
Habari ID: 3470549    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/05

Seyed Hossein Naqavi
Mbunge wa ngazi za juu nchini Iran amesema kadhia ya Palestina ndio muhimu zaidi kwa Waislamu na hivyo ametoa wito wa ushiriki mkubwa katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds.
Habari ID: 3470422    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/29

Kongamano la Siku ya Kimataifa ya Quds limepangwa kufanyika katika Ijumaa y Mwisho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mjini Dakar, Senegal kwa lengo la kuunga mkono harakati za ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3470401    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/20

Uchunguzi wa Maoni
Zaidi ya thuluthi moja ya Wamarekani na karibu nusu ya wananchi wa Uingereza wanaunga mkono kususiwa na kuwekewa vikwazo utawala wa kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3470351    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/01

Rais Rouhani wa Iran
Rais Hassan Rouhani wa Iran amelaani hatua ya Saudia kuwazuia Wairani kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu na kusema hatua hiyo ni kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3470348    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/31

Utawala wa Kizayuni wa Israel umenyakua kipande kikubwa cha ardhi ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3470200    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/16