iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Sultan Bin Mohammed Al Qasimi, Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Mtawala wa Sharjah, amekabidhi nakala nne nadra za nakala za Qur'ani Tukufu kwa Akademia ya Qur'ani Tukufu mjini Sharjah.
Habari ID: 3474220    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/23

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Kuhuisha Turathi za Kiislamu ya Kuwait imesambaza mamia ya Misahafu na vitabu vya Kiislamu nchini Comoro.
Habari ID: 3474150    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/02

TEHRAN (IQNA)- Chuo Kikuu cha Al Azhar kimewatunuku Qur'ani Tukufu wageni katika Maonyesho ya 52 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Cairo, Misri.
Habari ID: 3474072    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/05

TEHRAN (IQNA)- Raia mmoja wa Jordan amewatunuku watu wa Ghana nakala 1,400 za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474071    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/05

TEHRAN (IQNA)- Kumekuwa na ongezeko la asilimi 20 la Misahafu iliyochapishwa nchini Iran katika mwaka huu wa Kiirani wa Hijria Shamsia ulioanza Machi 21.
Habari ID: 3474034    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/23

TEHRAN (IQNA)- Misahafu 40 nadra na ya kale imewekwa katika maonyesho katika Maktaba ya Umma ya Kalba katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3473938    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/23

TEHRAN (IQNA)- Shirika moja la misaada ya Uturuki limesambaza nakala zaidi ya 700,000 za Qur'ani Tukufu kwa wanafunzi wa vyuo vya Kiislamu barani Afrika.
Habari ID: 3473770    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/30

TEHRAN (IQNA) - Idara ya Masuala ya Kidini Uturuki (Diyanet) imesambaza nakala milioni moja za Qur’ani katika nchi mbali mbali duniani.
Habari ID: 3473527    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/05

TEHRAN (IQNA) – Shirika moja la kutoa misaada nchini Uturuki limewatunuku watu wa Djibouti nakala za Qur'ani tukufu zipatazo 30,000.
Habari ID: 3473456    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/14

Ubalozi wa Saudia Arabia nchini Morocco umekosolewa vikali na Waislamu baada ya kuenea picha za kuvunjiwa heshima nakala za Qur'ani Tukufu katika ubalozi huo.
Habari ID: 3470597    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/03

Taasisi mbili za Uturuki zinashirikiana kusambaza nakala milioni za Qur’ani Tukufu katika nchi kadhaa za Kiafrika.
Habari ID: 3327631    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/13