zainab

IQNA

IQNA – Msichana mmoja wa shule ya upili nchini Iraq amefikia hatua ya kipekee na ya kusifiwa kwa kuhifadhi Qur’ani Tukufu nzima katika kipindi cha siku 43 pekee. Zainab, mwanafunzi katika Shule ya Upili ya Wasichana ya Khadija nchini Iraq, alipewa heshima kubwa kwa mafanikio yake haya adhimu.
Habari ID: 3482594   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/07

Turathi
IQNA - Waziri wa Wakfu nchini Misri amesema Msikiti wa Sayeda Zainab huko Cairo umefungwa kwa muda ili kuharakisha kazi ya ukarabati.
Habari ID: 3478305   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/04

Siku ya Ashura
TEHRAN (IQNA) – Nafasi ya wanawake katika mwamko wa Ashura yote imekuwa chanya. Sio tu kwamba kuna jukumu la wanawake wa kipekee kama Bibi Zaynab (SA) na Umm Salama, lakini pia hakuna ukandamizaji uliotekelezwa na na wanawake na kwani hata wake wa baadhi ya makamanda wa jeshi la Yazid bin Muawiya wamewakemea waume zao.
Habari ID: 3475602   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/10

Waislamu mjini Dar es Salaam, Tanzania wameshiriki katika matembelezo ya kuwakumbuka mateka wa Karbala na hasa Bibi Zainab SA.
Habari ID: 3470616   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/16

Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Takribani miaka 1375 iliyopita, ilifanyika majlisi ya kwanza ya siku ya Arubaini tangu kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) Imam Hussein bin Ali (AS) akiwa na watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume ambao waliuawa shahidi tarehe 10 Muharram mwaka 61 Hijria.
Habari ID: 2617894   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/13