Taazia
IQNA – Ayatullah Ali al-Kourani, mwanazuoni mashuhuri wa Lebanon katika historia ya Ushia, ameaga dunia Jumamosi, Mei 19.
Habari ID: 3478848 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/19
Taazia
TEHRAN (IQNA) – Kamal al-Hilbawi, mwanafikra wa Kiislamu wa Misri aliyeaga dunia mapema wiki hii, alikuwa muungaji mkono wa kweli wa Mapinduzi ya Kiislamu na aliupinga vikali utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3476659 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/05
TEHRAN (IQNA)-Msomi maarufu wa Misri Sheikh Salah Abdul Fattah al Khaledi, msomi mwandamizi wa Palestina katika uga wa sayansi za Qurani na tafsiri amefariki dunia.
Habari ID: 3474866 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/29
IQNA-Ustadh Bashir Jazairi, msomi bingwa katika vyuo vikuu vya Iran, Iraq na Algeria ambaye pia alikuwa mtangazaji wa radio na televisheni ameaga dunia mjini Tehran akiwa na umri wa miaka 80 kufuatia mshutuko wa ubongo.
Habari ID: 3470633 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/24