TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar leo zimetiliana saini mikataba 14 ya uushirikiano mjini Doha katika nyanja mbalimba katika hafla iliyohudhuriwa na Rais Ebrahim Raisi na Sheikh Tamim bin Hamad al-Thani.
Habari ID: 3474957 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/21
TEHRAN (IQNA)- Kuingia msikitini ukiwa unafahamu kuwa unaugua COVID-19 ni dhambi , amesema msomi wa Kiislamu huku akiwataka waumini wazingatia kanuni za kuzuia kuenea COVID-19.
Habari ID: 3474850 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/25
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Qatar imesema wanafunzi wa kiume wanaweza kurejea tena katika vituo vya kufunza Qur'ani Tukufu misikitini kuanzia Novemba Mosi.
Habari ID: 3474492 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/30
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Qatar imetangaza kuwa, Sala ya Istisqa yaani Swala ya Kuomba Mvua itaswaliwa nchini humo.
Habari ID: 3474479 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/27
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu nchini Qatar imefuta kanuni ya kutokaribiana na kutogusana (social distancing) misikitini wakati wa Sala sambamba na kufungua tena maeneo ya kutawadha.
Habari ID: 3474390 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/06
TEHRAN (IQNA)- Kwa mara ya kwanza, raia wa Qatar wamepiga kura Jumamosi Oktoba 3 katika uchaguzi wa bunge, ikiwa ni ishara ya kuendelea marekebisho ya kisiasa kwa lengo la kuwashirikisha wananchi katika utawala atika taifa hilo dogo lenye utajiri wa mafuta katika Ghuba ya Uajemi..
Habari ID: 3474377 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/03
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema nchi yake itatoa mchango wa dola milioni 500 kwa ajili ya ujenzi mpya wa Ukanda wa Ghaza baada ya vita vya hivi karibuni vya utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina aktika eneo hilo.
Habari ID: 3473950 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/27
TEHRAN (IQNA)- Qarii Mtanzania ameibuka mshindi katika duru ya nne ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Taasisi ya Kijiji cha Utamaduni (Katara) nchini Qatar.
Habari ID: 3473896 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/10
TEHRAN (IQNA)- Taasisi ya Kijiji ya Utamaduni (Katara) nchini Qatar imetangaza harakati kadhaa za mitandaoni katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kama vile mashindano ya Qur'ani na maonyesho.
Habari ID: 3473815 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/15
TEHRAN (IQNA) – Radio ya Qur’an ya Qatar imetangaza kuwa tayari kurusha hewani vipindi maalumu vya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473784 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/05
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Qatar imetangaza mpango wa kuanzisha vituo zaidi vya kusomesha wanawake Qur'ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3473771 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/30
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Qatar imetangaza uamuzi wa kufungua tena vituo vya kufunza Qur’ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3473581 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/22
TEHRAN (IQNA) – Baadhi ya weledi wa mambo wanaamini kuwa kurejeshwa uhusiano wa Saudi Arabia na Qatar ni hatua ya awali katika nchi hizo mbili kuaunzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473534 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/07
TEHRAN (IQNA) – Qatar imesema katu haitafuata nyao za majirani zake yaani tawala za Bahrain na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ambazo zimeanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3473172 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/15
TEHRAN (IQNA)- Qatar imefadhili ujenzi wa kituo cha elimu na miradi kadhaa ya maendeleo katika mji wa Kismayo nchini Somalia.
Habari ID: 3472882 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/20
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran inafuatilia kwa karibu sana nyendo za Marekani na kuongeza kuwa: "Iran katu haiitakuwa muanzishaji wa taharuku na mapigano katika eneo."
Habari ID: 3472701 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/25
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amefanya mazungumzo ya simu na mawaziri wa mambo ya nje wa Uturuki na Qatar kuhusu matukio ya hivi karibuni kuhusu mgogoro wa kisiasa nchini Afghanistan.
Habari ID: 3472663 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/13
TEHRAN (IQNA) – Warsha ya 'Mazingira kwa Mtaamo wa Qur'ani Tukufu na Sunnah ya Mtume Muhammad SAW imefanyika nchini Qatar.
Habari ID: 3472487 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/19
Kiongozi Muadhamu katika mkutano na Amir wa Qatar:
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Khamenei amesema: Mazingira ya eneo yalivyo hivi sasa yanahitaji zaidi kuliko ya kabla yake kuimarishwa mawasiliano kati ya nchi za eneo na kutokubali kuathiriwa na chokochoko za maajinabi.
Habari ID: 3472366 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/13
TEHRAN (IQNA) – Washindi wa Duru ya 26 ya Mashindano ya Qur'ani ya Sheikh Jassim bin Mohammed bin Thani nchini Qatar wametunukiwa zawadi katika hafla iliyofanyika Jumatatu.
Habari ID: 3472253 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/03