IQNA-Shirika moja la misaada la Qatar limesambaza nakala 80,000 za Qur'ani miongoni mwa Waislamu nchini Tanzania.
Habari ID: 3470645 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/31
Misikiti 10 mipya inatazamiwa kujengwa nchini Mali magharibi mwa Afrika kupitia ufadhili wa Taasisi ya Misaada ya RAF.
Habari ID: 3454532 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/19
Shule ya Qur'ani na Sayansi za Qur'ani imefunguliwa nchini Ghana kwa hisani ya Taasisi ya Sheikh Eid ya Misaada ya Qatar.
Habari ID: 3349417 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/20
Shirika moja la kutoa misaada nchini Qatar limeanzisha vituo 169 vya kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini Niger.
Habari ID: 3335751 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/27
Qatar imeandaa maonyesho kuhusu miujiza ya Qur'ani Tukufu na mafanikio ya wanasayansi Waislamu katika historia.
Habari ID: 3318504 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/25
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ametaka kuimarishwa ushirikiano, umoja na udugu wa kidini baina ya nchi zote za Kiislamu duniani.
Habari ID: 3316509 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/20
Waziri wa Masuala ya Awqaf na Kiislamu nchini Qatar ameamuru kuundwa Kamati ya Ustawi wa Kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 2870538 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/19
Tajiri maarufu wa Saudi Arabia Al Waleed bin Talal amekiri kuwa nchi hiyo ya kifalme inawasaidia magaidi wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIL) ambalo linapigana dhidi ya serikali za Iraq na Syria.
Habari ID: 1463446 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/25