iqna

IQNA

IQNA – Hafla ya kila mwaka ya Idara ya Qur’an Tukufu na Sayansi Zake kwa ajili ya kuwaheshimu wanafunzi wa Qur’an imefanyika katika mji mkuu wa Qatar, Doha.
Habari ID: 3480870    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/29

IQNA – Toleo la tatu la Mashindano ya Kimataifa ya Ulaya ya Kuhifadhi Qur’ani kwa washiriki wa umri mkubwa limehitimishwa mjini Rijeka, Croatia, ambapo Muhammad Abdi kutoka Sweden (Uswidi) alitwaa nafasi ya kwanza.
Habari ID: 3480717    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/21

IQNA – Watu wawili kutoka Morocco wamepata nafasi za juu katika Mashindano ya 8 ya Katara ya Usomaji wa Qur'ani, yaliyofanyika nchini Qatar
Habari ID: 3480466    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/29

IQNA – Watoto wadogo waliochukua walioshika nafasi za juu katika toleo la 30 la Mashindano ya Qur'ani ya Sheikh Jassim bin Mohammed bin Thani nchini Qatar wameitunukiwa tuzo.
Habari ID: 3480416    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/22

IQNA – Jumla ya misikiti 2,385 nchini Qatar imeandaliwa kupokea waumini kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kuanzia Jumamosi ijayo, ambapo matukio na shughuli mbalimbali maalum zitaandaliwa chini ya kaulimbiu "Utiifu na Msamaha".
Habari ID: 3480271    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/26

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya Qur'ani ya Sheikh Jassim ya Qatar yamefungwa Jumatano na washindi wakuu wakipokea zawadi kwa mafanikio yao.
Habari ID: 3479866    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/06

Diplomasia
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Amir wa Qatar na kusisitiza kuwa, kuenea machafuko na vitendo vya kigaidi nchini Syria si kwa manufaa ya nchi yoyote ya eneo hili, hivyo ni wajibu wa nchi zote kushirikiana kupambana na vitendo hivyo vya kigaidi.
Habari ID: 3479847    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/03

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - "Ipambeni Qur'ani kwa Sauti Zeni" itakuwa kauli mbiu ya Tuzo ya 8 ya Katara ya Kusoma Qur'ani Tukufu nchini Qatar.
Habari ID: 3479770    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/18

IQNA - Mwandishi wa kaligrafia wa Syria Ubaidah Muhammad Salih Al-Banki alielezea amesema kuwa na fursa ya kuandika kaligrafia Mus’haf (Msahafu) kama baraka ya Mwenyezi Mungu na chanzo kikubwa cha heshima.
Habari ID: 3478839    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/17

Wanawake
IQNA - Operesheni ya ujenzi wa kituo cha Kiislamu na Qur'ani kwa wanawake ilianza katika sherehe nchini Qatar.
Habari ID: 3478754    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/01

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Washindi wa  mashindano ya kimataifa ya Qur’ani yajulikanayo kama Tuzo ya Kuhifadhi Qur'ani ya Katara 2024 walitunukiwa katika hafla iliyofanyika Doha, Qatar, Ijumaa.
Habari ID: 3478642    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/07

Turathi ya Kiislamu
IQNA - Miongoni mwa vitu vinavyoonyeshwa kwenye Maktaba ya Kitaifa ya Qatar ni nakala adimu ya Qur'ani Tukufu kutoka Morocco.
Habari ID: 3478442    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/03

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Zaidi ya wasomaji au maqari 1,300 wamejiandikisha kushiriki Mashindano ya 7 ya Tuzo ya Kuhifadhi Qur'ani ya Katara
Habari ID: 3478145    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/04

Mafunzo ya Qur'ani
DOHA (IQNA) – Toleo la 60 la Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu Qatar kwa wanafunzi wa shule yanaendelea katika nchi hiyo ya Kiarabu. Zaidi ya wavulana na wasichana 22,000 wanashiriki katika toleo hili la tukio la Qur'ani.
Habari ID: 3477893    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/15

Jinai za Israel
AL-QUDS (IQNA) – Kitendo cha jinai cha Israel cha kulipua makao makuu ya Kamati ya Qatar ya Kujenga upya Gaza kimelaaniwa vikali na mataifa na jumuiya nyingi za Kiarabu na Kiislamu.
Habari ID: 3477888    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/14

Mashindano ya Qur''ani
TEHRAN (IQNA) – Qari wa Misri ametwaa taji la toleo la pili la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya "Awal Al Awail" nchini Qatar.
Habari ID: 3477886    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/13

Diplomasia
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo ya simu aliyofanya na Amir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad bin Khalifa Al Thani kwamba, leo taifa la Palestina linahitaji zaidi uungaji mkono athirifu wa walimwengu na hasa wa nchi za Kiislamu kuliko wakati wowote ule.
Habari ID: 3477809    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/29

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) -Mkutano wa kimataifa kuhusu chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) umefanyika nchini Qatar huku mmoja wa waandalizi wake akitoa wito kwa juhudi za pamoja za kukabiliana na ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu na athari zake "haribifu".
Habari ID: 3477683    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/02

Chuki dhidi ya Uislamu
DOHA (IQNA) - Qatar itakuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa wa kujadili kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) kwa namna zote na kuchunguza sababu za kuongezeka kwa chuki hizo.
Habari ID: 3477663    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/28

Turathi
TEHRAN (IQNA) – Msikiti nchini Qatar wenye mnara wa kipekee unaoegemea unazidi kuzingatiwa mtandaoni na kuwa kivutio cha watalii.
Habari ID: 3477075    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/31