iqna

IQNA

wamagharibi
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amevitaja vikwazo vya michezo baada ya kuanza vita vya Ukraine kuwa vinakadhibisha madai ya waistikbari na wafuasi wao kuhusu kutoingizwa siasa katika michezo.
Habari ID: 3475909    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/10

Mkuu wa Idara ya Mahakama Iran
TEHRAN (IQNA)- Hujjatul Islam wal Muslimin Gholamhossein Mohseni-Ejei, Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran, amekosoa utendakazi wa wale wanaodai kutetea haki za binadamu na kusema: Wanaodai kutetea haki za binadamu huko Magharibi hawawezi hata kueleza maana ya mwanadamu kwa njia sahihi.
Habari ID: 3475579    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/04

Waziri wa Ulinzi wa Iran
IQNA: Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema muungano wa Wamagharibi wa kupambana na ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati ni hatua ya kimaonesho na ya hadaa.
Habari ID: 3470765    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/29