iqna

IQNA

gambia
Haki za Waislamu
TEHRAN (IQNA) – Mamia ya wanafunzi wa kike wa Kiislamu wamezishtaki shule kadhaa nchini Gambia, wakizituhumu kwa kupiga marufuku vazi lao la Hijabu.
Habari ID: 3476987    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/11

Mashindano ya Qur'ani ya Iran
TEHRAN (IQNA) – Hafidh wa Qur’ani Tukufu kutoka Gambia amesifu kiwango kizuri na usawa alioushuhudia katika Mashindano ya 39 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3476617    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/24

Mashindano ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Banjul, mji mkuu wa Gambia, umekuwa mwenyeji wa mashindano ya Qur'ani Tukufu yaliyojumuisha kuhifadhi, kusoma Tajweed na Tarteel.
Habari ID: 3476387    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/11

Wanawake na Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Kongamano la kila mwaka la Qur’ani la Jumuiya ya Qur’ani ya Wanawake na Wasichana ya Gambia liliandaliwa ili kukuza vipaji vya kielimu miongoni mwa wanachama wa jumuiya hiyo.
Habari ID: 3475321    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/01

TEHRAN (IQNA) – Warsha kuhusu bima ya Kiislamu, inayojulikana kama Takaful, imefanyika hivi karibuni nchini Gambia.
Habari ID: 3473425    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/05

IQNA-Rais mpya wa Gambia ametangaza kuwa nchi yake haitajulikana tena kama Jamhuri ya Kiislamu ya Gambia ikiwa ni katika kutekeleza ahadi ya kampeni zake za uchaguzi.
Habari ID: 3470819    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/29

IQNA-Kituo cha Kuhifadhi Qur'ani Tukufu Gambia (GQMC) kinachofungamana na Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Intaneti cha Gambia kimeandaa masomo ya kuhifadhi Qur'ani kupitia intaneti kwa lengo la kutoa mafunzo kwa Waislamu kona zote za dunia.
Habari ID: 3470742    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/14

Mashindano ya kimataifa ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu yanafanyika nchini Gambia kwa kuhudhuriwa na wawakilishi wa nchi 28.
Habari ID: 3470478    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/28

Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Gambia imesema itaheshimu haki za raia na wakaazi wote nchini humo wakiwemo Wakristo na wengine.
Habari ID: 3470210    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/22

Rais Yahya Jammeh wa Gambia ameitangaza nchi yake kuwa Jamhuri ya Kiislamu itangaza hatua hiyo na kusema kuwa, kuanzia sasa mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu unatawala nchini humo ikiwa ni katika juhudi za kutoa utambulisho kwa thamani za kidini.
Habari ID: 3462295    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/12