IQNA

Mafunzo ya Qur'ani katika Chuo Kikuu cha Kiislamu Gambia

20:25 - December 14, 2016
Habari ID: 3470742
IQNA-Kituo cha Kuhifadhi Qur'ani Tukufu Gambia (GQMC) kinachofungamana na Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Intaneti cha Gambia kimeandaa masomo ya kuhifadhi Qur'ani kupitia intaneti kwa lengo la kutoa mafunzo kwa Waislamu kona zote za dunia.

Kwa mujibu wa mwandishi wa IQNA, kituo hicho cha kuhifadhi Qur'ani Tukufu ambacho kinatoa mafunzo kwa Waislamu wote duniani bila kujali umri kinasimamiwa na maustadhi bingwa wa Qurani na kinatoa mafunzo yake yote ya kuhifadhi na qiraa ya Qur'ani kwa njia ya intaneti.

Kituo hiki kimeweka kategoria tatu kwa wanaoshiriki ambazo ni pamoja na kundi la wanaoanza, kundi lakati na kundi la waliofika daraja la juu. Kila ambaye anajisajili kushiriki katika mafundisho hayo kwa njia ya intanetia anapata mwalimu maalumu wa kumfunzi.

Kituo hiki cha kutoa mafunzo ya kuhifadhi Qur'ani pia kina mafundisho maalumu kwa wale  ambao hawafahamu lugha ya Kiarabu au ufahamu wao ni dKituo cha Kuhifadhi Qur'ani Tukufu Gambia kilianzishwa mwaka 201 kwa himaya ya Chuo Kikuu cha Kiislamu cha  Gambia  ambapo kina ratiba za mafundisho ya kuhifadhi Qur'ani kwa makundina kwa mtu binafsi pamoja na mafundisho ya qiraa ya Qur'ani Tukufu na wanaohitimu hupata cheti. Takribani asilimia 95 ya wakaazi wote milioni moja laki nane nchini Gambia ni Waislamu.

Kwa mujibu wa mwandishi wa IQNA, kituo hicho cha kuhifadhi Qur'ani Tukufu ambacho kinatoa mafunzo kwa Waislamu wote duniani bila kujali umri kinasimamiwa na maustadhi bingwa wa Qurani na kinatoa mafunzo yake yote ya kuhifadhi na qiraa ya Qur'ani kwa njia ya intaneti.

Kituo hiki kimeweka kategoria tatu kwa wanaoshiriki ambazo ni pamoja na kundi la wanaoanza, kundi lakati na kundi la waliofika daraja la juu. Kila ambaye anajisajili kushiriki katika mafundisho hayo kwa njia ya intanetia anapata mwalimu maalumu wa kumfunzi.

Kituo hiki cha kutoa mafunzo ya kuhifadhi Qur'ani pia kina mafundisho maalumu kwa wale  ambao hawafahamu lugha ya Kiarabu au ufahamu wao ni duni.

Kituo cha Kuhifadhi Qur'ani Tukufu Gambia kilianzishwa mwaka 201 kwa himaya ya Chuo Kikuu cha Kiislamu cha  Gambia  ambapo kina ratiba za mafundisho ya kuhifadhi Qur'ani kwa makundina kwa mtu binafsi pamoja na mafundisho ya qiraa ya Qur'ani Tukufu na wanaohitimu hupata cheti. Takribani asilimia 95 ya wakaazi wote milioni moja laki nane nchini Gambia ni Waislamu.

3554003

captcha