Mjumbe katika Baraza la Kaunti ya mji wa Kisumu magharibi mwa Kenya amekosoa uamuzi wa Mahakama Kuu kuwapiga marufuku wanafunzi Waislamu katika Kaunti ya Isiolo kuvaa Hijabu.
Habari ID: 2968360 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/12
Katika hali ambayo utawala wa kifalme wa Bahrain hadi sasa umeshavunja misikiti 38 nchini humo kwa visingizio tofauti, Mfalme wa Bahrain amemzawadia Papa Francis wa Kanisa Katoliki, ramani ya kanisa kubwa linalotarajiwa kujengwa nchini humo.
Habari ID: 1426057 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/05