iqna

IQNA

kanisa
Jinai za Israel
IQNA - Zaidi ya maeneo 200 ya kiakiolojia na ya kale katika Ukanda wa Gaza yameharibiwa na uvamizi wa kijeshi wa Israel tangu Oktoba 7, kulingana na mamlaka huko Gaza.
Habari ID: 3478117    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/31

Jinai za Israel
GAZA (IQNA) - Msikiti wa kihistoria wa Othman bin Qashqar, ulioko katika Jiji la Kale la Gaza ulilipuliwa kwa mabomu yaliyodondoshwa na ndege za kivita za utawala haramu Israel siku ya Alhamisi, na kusababisha Wapalestina kadhaa kuuawa shahidi na uharibifu wa nyumba zilizo karibu, shirika rasmi la habari la Palestina WAFA liliripoti.
Habari ID: 3478005    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/08

Jinai za Israel
BEIT LAHM (IQNA)- Kanisa moja la Palestina limeamua kuweka kunyesha magofu ya nyumba zilizobomolewa badala ya Mti wa Krismasi kama ilivyo ad ana kusema kuwa hakuna cha kusherehekea wakati huu utawala haramu wa Israel unapendeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3477989    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/05

Wanaharakati wafichua
TEHRAN (IQNA)-Wanaharakati wameshutumu Kanisa Kikatoliki huko Cordoba, Uhispania, kwa kuharibu na kupotosha historia ya Kiislamu katika eneo hilo.
Habari ID: 3476644    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/02

Jinai nchini Bahrain
TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Kitaifa ya Kiislamu ya Al-Wefaq ambayo ni kundi kuu la upinzani nchini Bahrain linasema utawala wa ukoo wa Aal Khalifah unatumia vibaya ziara ya Papa Francis nchini humo ili kuficha jinai zake na ukiukaji wa haki za binadamu.
Habari ID: 3476036    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/05

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Jumamosi, Juni 11, 2022 huko Manchester, NH, jimboni New Hampshire Marekani, Kongamano la New England la Ma kanisa ya Methodist ilipitisha kwa wingi azimio lenye kichwa “Kutambua na Kupinga Ubaguzi wa Rangi Katika Ardhi Takatifu.”
Habari ID: 3475392    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/18

Ugaidi
TEHRAN (IQNA) Watu zaidi ya 50 wakiwemo wanawake na watoto, wameuawa baada ya genge lenye silaha kushambulia kanisa moja ya kikatoliki kaskazini magharibi mwa Nigeria wakati wa ibada ya Jumapili.
Habari ID: 3475341    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/06

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa jamii ya Wauyghur Waturuki wanaoishi katika mji wa Toronto, Canada wamenunua jengo la kale ambalo lilikuwa Kanisa na kuligeuza kuwa Msikiti.
Habari ID: 3474344    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/26

Wenyeji asili wa Canada
TEHRAN (IQNA)- Wenyeji asili wa Canada wanasisitiza kuwa Papa Francis Kiongozi wa Kanisa Katoliki anapaswa kuomba radhi kufuatia ugunduliwa makaburi ya mamia ya watoto wa Wacanada asili waliokuwa wakishikiliwa kwa lazima katika shule za wamishonari wa Kikatoliki nchini humo.
Habari ID: 3474340    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/25

TEHRAN (IQNA)- Kugunduliwa makaburi ya mamia ya watoto wa Wacanada asili waliokuwa wakishikiliwa kwa lazima katika shule za wamishonari wa Kikatoliki kumezua wimbi kubwa la hasira kati ya raia wengi wa nchi hiyo, taasisi za kutetea haki za binadamu na baina ya wapenda haki kote duniani.
Habari ID: 3474047    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/27

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa kanisa Katoliki nchini Austria amelaani vikali hatua ya serikali ya nchi hiyo kuzindua kile ambacho kimetajwa kuwa ni ‘Ramani ya Uislamu” kwa lengo la kuwabana Waislamu.
Habari ID: 3473984    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/06

TEHRAN (IQNA)-Jengo la Kanisa la St. James Presbyterian mjini Ontario nchini Canada limebadilishwa na kuwa msikiti baada ya kununuliwa na Waislamu.
Habari ID: 3473674    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/22

TEHRAN (IQNA)-Kasisi wa kanisa moja nchini Ghana amelaumia kusababisha Benki ya Capital nchini humo kuanguka na kuwasabishia wateja hasara kubwa.
Habari ID: 3471648    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/26

TEHRAN (IQNA)-Askofu wa kanisa moja nchini Kenya amesilimu pamoja na wafuasi wake kadhaa na kuligeuza kanisa lake kuwa msikiti.
Habari ID: 3471218    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/15

TEHRAN (IQNA)- Watu wa Misri wanamuenzi afisa wa polisi mwanamke Mwislamu ambaye alipoteza maisha yake akijijaribu kumzuia gaidi wa kundi la ISIS kuingia katika kanisa la Kikhufti (Coptic) mjini Alexandria.
Habari ID: 3470933    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/13

Kasisi mmoja nchini Nigeria ametamka shahada mbili na kuwa mfuasi wa dini Tukufu ya Kiislamu na baada ya hapo akaligeuza kanisa lake kuwa msikiti.
Habari ID: 3339749    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/07

Wazazi Waislamu nchini Kenya wamekosoa kitendo cha uongozi wa shule mbili cha kuwalazimisha wanafunzi wa Kiislamu kuingia ma kanisa ni kwa ibada.
Habari ID: 3322404    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/02

Mjumbe katika Baraza la Kaunti ya mji wa Kisumu magharibi mwa Kenya amekosoa uamuzi wa Mahakama Kuu kuwapiga marufuku wanafunzi Waislamu katika Kaunti ya Isiolo kuvaa Hijabu.
Habari ID: 2968360    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/12

Katika hali ambayo utawala wa kifalme wa Bahrain hadi sasa umeshavunja misikiti 38 nchini humo kwa visingizio tofauti, Mfalme wa Bahrain amemzawadia Papa Francis wa Kanisa Katoliki, ramani ya kanisa kubwa linalotarajiwa kujengwa nchini humo.
Habari ID: 1426057    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/05