Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kulinda na kuhifadhi miti ni kazi muhimu sana ambayo inapaswa kufanywa
Habari ID: 3475016 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/06
TEHRAN (IQNA) - Katika taarifa yake, jopo la majaji limepongeza kiwango cha hali ya juu katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya mwaka huu nchini Iran.
Habari ID: 3475014 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/06
Waziri wa Utamaduni wa Iran
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu wa Iran aliutaja ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979 nchini Iran kuwa ni dhihirisho la utimilifu wa mafundisho ya Qur'ani.
Habari ID: 3475013 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/06
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Iran yamemalizika Jumamosi jioni mjini Tehran huku miongoni mwa washindi wakiwa ni wawakilishi wa Kenya na Tanzania.
Habari ID: 3475011 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/05
TEHRAN (IQNA)- Mtaalamu wa masuala ya Qur'ani kutoka Morocco amepongeza utaratibu bora katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Iran mwaka huu.
Habari ID: 3475007 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/05
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran yanaendelea huku baadhi ya wanaoshindana wakishiriki ana kwa ana katika ukumbi na wengine wakishiriki kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3474999 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/03
TEHRAN (IQNA)- Fainali ya Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran imeanza mjini Tehran siku ya Jumatatu usiku.
Habari ID: 3474992 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/01
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani ni utawala wa kimafia na kwamba, Ukraine imekuwa mhanga wa siasa za utawala huo.
Habari ID: 3474989 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/01
TEHRAN (IQNA) – Washindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Meshkat wametangazwa baada ya klipu zao kusikilizwa na jopo la majaji.
Habari ID: 3474985 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/28
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Idara ya masuala ya Qur'ani ya Shirika la Waqfu na Mambo ya Kheri amesema maandalizi ya mashindano ya 38 ya kimataifa ya Qur'ani yanayofanyika kila mwaka mjini Tehran yamekamilika.
Habari ID: 3474983 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/27
TEHRAN (IQNA)- Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Qur'ani, Itra na Sala cha Wizara ya Elimu na Malezi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vijana wadogo 20 wameingia kwenye fainali ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu kwa wanafunzi wa shule za Ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3474981 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/27
TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar leo zimetiliana saini mikataba 14 ya uushirikiano mjini Doha katika nyanja mbalimba katika hafla iliyohudhuriwa na Rais Ebrahim Raisi na Sheikh Tamim bin Hamad al-Thani.
Habari ID: 3474957 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/21
Rais wa Iran katika mazungumzo na Rais wa Ufaransa
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mapatano yoyote yatakayofikiwa kwenye mazungumzo ya Vienna yenye lengo la kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA lazima yajumuishe suala la kuondolewa vikwazo taifa la Iran, sanjari na kupasishwa kwa kipengee kuhusu dhamana yenye itibari, na vile vile kujizuia na masuala ya kisiasa na kuibua tuhuma zisizo na msingi.
Habari ID: 3474953 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/20
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, muqawama (mapambano ya Kiislamu) unaokua na kuzidi kupata nguvu katika eneo la Asia Magharibi umesambaratisha kiburi na majigambo ya ubeberu.
Habari ID: 3474937 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/17
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati wa Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amemtumia salamu na ujumbe maalumu Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kumshukuru kwa misimamo yake ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina.
Habari ID: 3474932 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/15
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo hapa Tehran leo Jumapili na Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali aliyeko ziarani hapa nchini.
Habari ID: 3474927 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/13
TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa nchi mbalimbali walituma ujumbe wa kuipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mwaka wa 43 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3474920 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/12
TEHRAN (IQNA) – Ni jambo la kushanfaza kuona Wa iran i wakibainisha mahaba na mapenzi kwa nchi yao, lakini wakibainisha hisia hizo kwa lugha isiyo ya Kifarsi linakuwa si jambo la kawaida.
Habari ID: 3474919 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/12
TEHRAN (IQNA)-Wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leoi wamejitokeza kwa wingi mitaani katika maadhimisho ya miaka 43 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini.
Habari ID: 3474915 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/11
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kikao na mabalozi wa nchi za nje hapa mjini Tehran kwa mnasaba wa kukumbuka ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: "Taifa la Iran limesimama imara katika misingi ya itikadi za mapinduzi yake."
Habari ID: 3474911 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/10