TEHRAN (IQNA) - Fainali ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza Jumatatu mjini Tehran.
Habari ID: 3474705 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/21
TEHRAN (IQNA)- Fainali ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza Jumatatu mjini Tehran.
Habari ID: 3474704 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/21
Kamanda wa Kikosi cha Quds cha IRGC
TEHRAN (IQNA)- Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kuwa, shahid Hasan Irlu (kwenye picha), balozi wa Iran nchini Yemen ambaye amefariki dunia kwa ugonjwa wa corona, alikuwa mtumishi wa wananchi madhulumu na wanamuqawama wa Yemen.
Habari ID: 3474701 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/21
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran itaendelea kuwaunga mkono wananchi wa Palestina hadi pale mji mtakatifu wa Quds utakapombolewa na kuondoka katika makucha ya Wazayuni maghasibu.
Habari ID: 3474697 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/20
TEHRAN (IQNA)- Hafla za kuomboleza kufa shahidi Bintiye Mtume Muhammad SAW, Bibi Fatima Zahra SAW, zinafanyika katika Msikiti wa Jamia wa mji mtakatifu wa Qum nchini Iran.
Habari ID: 3474691 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/18
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo hapa mjini Tehran amesisitiza kuwa msingi wa mazungumzo ya nyuklia JCPOA yanayofanyika mjini Vienna ni kuondolewa kwa mpigo vikwazo ilivyowekewa Iran.
Habari ID: 3474687 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/17
Brigedia Jenerali Mohammad Baqeri
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Kamandi ya vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, "hatujaghafilika hata kwa lahadha na sekunde moja kustawisha uwezo wa kiulinzi na nguvu za kijeshi za kuzuia hujuma dhidi ya nchi."
Habari ID: 3474675 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/14
TEHRAN (IQNA)- Waalimu 114 wa ngazi za juu wanaofunza kuhifadhi Qur'ani nchini Iran wataenziwa katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3474667 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/12
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sera za uj iran i mwema na kuwa na uhusiano na maj iran i ili kusambaratisha vikwazo ni mkakati wa kistratijia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3474666 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/11
Spika wa Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu,Bunge la Iran amesema kuwa umoja ni suluhisho pekee kwa matatizo ambayo yanaukumba umma wa Kiislamu duniani kote.
Habari ID: 3474663 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/11
Hatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Hatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa Iran ya leo ndiyo nchi yenye nguvu zaidi katika eneo la Magharibi mwa Asia, na iko katika nafasi ambayo hakuna nchi inayothubutu kuishambulia.
Habari ID: 3474659 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/10
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) yuko nchini Uturuki kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Mabunge ya Kiislamu ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC)
Habari ID: 3474656 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/08
Rais wa Iran
TEHRAN (IQNA)- Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na Faisal Mekdad, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Syria na kusema kuwa, nchi hiyo ya Kiarabu ipo mstari wa mbele katika mapambano na muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474648 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/07
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria jinai zilizofanywa na dikteta wa Iraq Saddam dhidi ya watu wa Iran na akasema: Saddam alikuwa akifanya jinai hizo kwa msukumo na uungaji mkono wa wanaojigamba kuwa watetezi wa haki za binadamu duniani.
Habari ID: 3474631 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/02
Spika wa Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema haki za taifa la Iran zitarejeshwa tu iwapo kutafikiwa mapatano maziri na adilifu ambayo yatapalekea vikwazo kuondolewa.
Habari ID: 3474625 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/01
TEHRAN (IQNA)- Zahra Khalili, msichana mwenye ulemavu wa macho katika mji mkuu wa Iran, Tehran ni miongoni mwa wawakilishi wanne wa Iran katika mashindano yajayo ya Qur’ani ya kimataifa ya wanafunzi Waislamu.
Habari ID: 3474623 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/30
Rais wa Iran katika mazungumzo ya simu na Rais wa Ufaransa
TEHRAN (IQNA)- Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemfahamisha Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kuwa, Iran inataka kuona natija katika mazungumzo ya nyuklia yanayoendelea sasa Vienna Austria na kwamba lazima mazungumzo hayo yahitimishwe kwa Iran kuondolewa vikwazo.
Habari ID: 3474622 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/30
Rais wa Iran katika mkutano na Rais wa Uturuki
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema matatizo na changamoto za kieneo zinapaswa kutatuliwa na nchi za eneo na kwamba uingiliaji wa kigeni hausaidii lolote bali unachochea na kuvuruga zaidi hali ya mambo.
Habari ID: 3474617 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/29
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Masuala ya Kimataifa wa Idara ya Mahakama ya Iran amesisitiza kuwa, mauaji ya kigaidi ya wanasayansi wa nyuklia ni jinai dhidi ya binadamu na ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
Habari ID: 3474614 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/28
TEHRAN (IQNA)- Hatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amezinasihi nchi za Ulaya kutotoa mhanga maslahi yao ya kitaifa kwa manufaa na malengo haramu ya watawala wa Marekani na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3474601 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/26