iqna

IQNA

IQNA-Msikiti mashuhuri jijini Liverpool nchini Uingereza unakumbwa na changamoto ya uhaba wa nafasi na miundombinu huku ukijitahidi kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya huduma za mazishi ya Kiislamu kutoka kwa jamii za ndani na za mikoa jirani.
Habari ID: 3480705    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/19

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Al-Rahma huko Liverpool nchini Uingereza umeshinda tuzo ya heshima kwa kazi yake kubwa ya uhamasishaji katika jamii mwaka jana.
Habari ID: 3474972    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/25

TEHRAN (IQNA)- Dada wawili nchini Uingereza wamesilimu baada ya kuvutiwa na unyenyekevu pamoja na maadili mema ya mchezaji soka maarufu wa Misri Mohammad Salah, ambaye ni fowadi wa klabu ya Liverpool katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL).
Habari ID: 3474224    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/25

TEHRAN (IQNA)- Pamoja na kuwa atashiriki katika mechi muhimu zaidi ya soka katika maisha yake, yamkini nyota wa Liverpool Mohammad Salah akafunga saumu ya Ramadhani katika siku ya mechi na Real Madrid ya Fainali ya Mabingwa wa Ulaya.
Habari ID: 3471526    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/22