Kongamano la Tano la Kimataifa la “Ghaza, Nembo ya Muqawama (mapambano)” lilifanyika hapa Tehran siku ya Jumapili kwa minajili ya kukumbuka na kuadhimisha siku ya ushindi mkubwa wa wanamapambano wa Palestina katika vita vya siku 22 vya Ghaza vilivyoanza mwishoni mwa mwaka 2008 na kuendelea hadi mwanzoni mwa mwaka 2009.
Habari ID: 2728172 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/19