IQNA

Maelfu ya Waislamu washiriki mazishi ya Ayatullah Tabasi, Mash'had, Iran

18:48 - March 05, 2016
Habari ID: 3470181
Maelfu ya watu wa Iran leo wameshiriki katika mazishi ya Ayatullah Abbas Va’ez Tabasi, Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Ridha AS, katika mji wa Mash'had kaskazini mashariki mwa nchi.
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei aliongoza mazishi hayo na kusalisha Swala ya Maiti ya Ayatullah Va’ez Tabasi.

Rais Hassan Rouhani na Spika wa Bunge Ali Larijani walikuwa miongoni mwa maafisa wa ngazi za juu Wairani waliohudhuria mazishi hayo katika mji wa pili kwa ukubwa nchini Iran.

Ayatullah Tabasi aliaga dunia Ijumaaya jana akiwa na umri wa miaka 80 baada ya kulazwa hospitalini kwa muda wa wiki moja. Ayatullah Khamenei, Rais Rouhani pamoja na viongozi wengine wa ngazi za juu nchini walituma salamu za rambi ramabi na kumuenzi mwanazuoni huyo wa kidni aliyejitolea umri wake wote kuuhudumia Uislamu na Waislamu.

Ayatullah Tabasi alihudumu kama Mfawidhi wa Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Ridha AS na taasisi ya waqfu inayosimamia Haram hiyio tokea ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu mwaka 1979. Aliteuliwa na mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Imam Khomeini MA kuchukua nafasi hiyo na alikuwa pia mwanachama wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu wanaomchagua Kiongozi Mkuu Wa Iran, mwanachama wa Baraza la Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu na mwakilishi wa Faqihi Mtawala katika eneo la Khurassan kaskazini mashariki mwa Iran.
3480870Alwaght- Iraqi army and local allied have fully liberated two districts in the conflict-ridden western province of Anbar from ISIS Takfiri terrorists. 
According to Arabic-language al-Baghdadia satellite television Iraqi Army and Popular Mobilization Units, managed to establish complete control over Hamdaneen and Jazirah al-Jamilah, which lie east of the city of Fallujah.
Commander of the First Regiment of Popular Mobilization Units, Colonel Juma al-Jumaili said that Iraqi forces had also killed dozens of ISIS terrorists during the liberation operations.
He pointed out that Iraqi government forces and their allies are making headway in their offensives east of Fallujah, which is situated about 50 kilometers (30 miles) west of Baghdad.
Meanwhile an informed source in Nineveh Operations Command said on Saturday, that 13 ISIS terrorists had been killed in artillery shelling by the army forces south of Mosul.
The source, who spoke on condition of anonymity, said in a brief statement obtained by IraqiNews.com, that the Iraqi army’s Artillery Regiment shelled, this morning, gatherings for ISIS in the villages of Sultan Abdullah and Tal al-Sha’ir in the district of Qayyara.
The northern and western parts of Iraq have been plagued by violence ever since ISIS terrorists began an offensive through Iraqi territory in June 2014.
Iraqi army soldiers and fighters from Popular Mobilization Units are seeking to win back militant-held regions in joint operations.


captcha