IQNA

13:22 - October 17, 2020
Habari ID: 3473267

Haram Takatifu ya Imam Ridha AS katika siku za mwisho za Safar

TEHRAN (IQNA)- Katika siku za mwisho za Mwezi wa Safar wa mwaka 1422 Hijria Qamaria, ambazo pia ni siku za kukumbuka kifo cha Mtume Muhammad SAW na pia kuuawa shahidi Imam Hassan AS na Imam Ridha AS, Haram Takatifu ya Imam Ridha AS katika mji wa Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran iko katika mazingira ya majonzi na maombolezo.

Haram Takatifu ya Imam Ridha AS katika siku za mwisho za Safar
 
captcha